Pinda in London? Fedha Zimetoka wapi?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Tunaambiwa hakuna fedha, watu wamekosa mishahara, huko Rukwa au Katavi, waalimu wana mishahara hawajalipwa karibu shilingi milioni 60, lakini Waziri Mkuu yupo Uingereza, fedha zimetoka wapi? Je kulikuwa na ulazima wa yeye kwenda Uingereza huku hali ya uchumi ni mbaya?
 
mbona hakuna taarifa zozote kwenye chombo cha habari cha aina yoyote
kaingiaje VIP au ile ya kwetu walala hoi
kwenye bibi katuchoka, hata kupitisha kasentensi kama maneno mawili tu pale kwa chini kipindi wanasoma taarifa nyingine hakuna, prince wa baharma juzi niliona kawekewa mkeka mwekundu kabisa
wanafata nini mbona ni kama hakuna welcome kabisa
 
IMG_1779.jpeg

Mazingira yanaenda na sisi!!

Mtoto wa mkulima imebakia jina tu.

Hivi gharama ya hizi safari zao haziko public?
 
Wasanii kweli wamejaa serikali za ccm. Huku Tanzania wanaendelea kuwadanganya wazee vijijini kama tunavyoona kwenye hizi images za kutoka daily news, tbc, itv na vyombo vinavyotumia mali za wananchi

pinda.jpg


PM_MVP_Photo2_small.jpg


pppp.JPG


Mbaya zaidi ni hii hapa

waziri+mkuu+wetu.jpg


Tunafahamu jinsi tour zao huko nje ya nchi, gang la wahuni linaambatana nao na hotels wanazokaa, inawezekana wanakwenda kuleta umeme kwa watanzania. Watanzania tuungane kuwaondoa hawa wasanii kwa haraka kabla hawajamaliza resources za watoto zetu.

"Mind is real terrible thing to waste"
 
Wizara ya Mazingira ipo chini ya Pinda? Inaonekana wamekati MTI Hai kuwashia Moto wa Chai yao...

The Environment Degradation Government!!!
 
Tunaambiwa hakuna fedha, watu wamekosa mishahara, huko Rukwa au Katavi, waalimu wana mishahara hawajalipwa karibu shilingi milioni 60, lakini Waziri Mkuu yupo Uingereza, fedha zimetoka wapi? Je kulikuwa na ulazima wa yeye kwenda Uingereza huku hali ya uchumi ni mbaya?
Wana tumia credit cards kula leo walipa miezi sita ijayo
 
Hawa viongozi wetu utafikiri wamechaguliwa kufanya utalii!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom