Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

Kwani picha ndo nini,nilishasema jaman huu tumekua acheni ushabiki wa kizumbukuku.kuwa na watu wengi mkutanoni SIO ISSUE. Watu bana? Haya sikuwepo arround people power imefikia wapi NANI RAIS SAA HII?nilikua pori sijui kinaendelea nini
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Join Date : 2nd January 2011
Posts : 25
Thanks1Thanked 5 Times in 4 Posts
Rep Power : 0
 
anaumwa huyu. Endelea kujifaraiji baba/mama/kijana. CDM go----------go---------------
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Mbavu za mbwa ebu acha kutupiga mbavu wewe. Sioni haja ya kuja na kichwa cha habari kama hiki. Kwani CHADEMA wapo kwenye ushindani wa nani zaidi?, inawezekana kweli kamfunika kwa kuwa CCM wao wanatakiwa kufanya matendo siyo kubwabwaja tu. Hebu angali hapa chini kama hii ndiyo ufunika unayoitaka au una maanisha kusema atatatua ongezeko la bei ya sukari
 
Last edited by a moderator:
Wapuuzi wala hamnipi point.kwani pm akipokewa na watu wengi ndo nini?
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
Tehe tehe tehe, nilivyosoma post hii nimemkumbuka marehemu Tariq Aziz aliyekuwa bingwa wa propaganda nchini Iraq kipindi kileee.
 
Data plizzz.......
PindaKageraHq.jpg

Unaona umati huo
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Ila mi nashangaa kabla Pinda ajaanza kuongea kuhusu JK watu wanaanza kushangilia inanipa hofu watu hawa wameandaliwa na ki2 chochote anachoongea Pinda ata hakiitaji pongezi utasikia makofi yakipigwa.
so hope its just a crap 4 ur thread u talk about.
WAJINGA NDIO WALIWAO
 
Labda walienda kushangaa suti na sura ya PM, Malori hayakuwepo pale kuwarudisha watu makwao? Anyway Posho maana wananchi njaa ni kali mno:nerd:
 
Tehe tehe tehe, nilivyosoma post hii nimemkumbuka marehemu Tariq Aziz aliyekuwa bingwa wa propaganda nchini Iraq kipindi kileee.

dah..!!mzee wa rula acha basi pumba.tarig aziz si marehemu.hafu mohamed al sahaf ndo alikua waziri wa habari .muongo sana hadi BUSH alimpenda pia naye hajafa
 
This is what is eating you guys! Wakati watu wako serious na nchi na matatizo yake wengine wanafanya comedy. Na hii ndiyo inayocosti hicho chama kilichokutuma! Sishangai sana. I know itachukua muda watu wa aina yako kuisha. Ila pata ushauri wa bure: Ni vizuri Mkajifunza kusoma alama za nyakati. Amkeni hii sio ile Tanzania ya miaka ile ambapo kila linalosemwa watu wanaitikia. Kama unadhani natania nenda public then sema Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM alafu uone hao wanaCCM wenyewe watakavyojibu. Believe or not THE COUNTRY IS CHANGING. Huku mjifunze kuwa WAADILIFU ZAIDI,WAKWELI NA MUACHE KULINDA UBOVU. Sorry as per what I know Pinda alichemka vibaya sana.Unataka Data za mikutano yote just beep nikupandishie..........No offence
 
He kumbe mikusanyiko ya CDM ilikuwa inawapa homa du!! ndio maana siipendi CCM mnaacha kufanya vitu watanzania tuone, mnakusanya watu kutoka maeneo mbalimbali na kuwahonga kwa pesa na kufanya usanii wa teknolojia kuwaonyesha watanzania kuwa mnapendwa. na kwa vyama vya upinzani mnakata picha. Fanyeni kazi badala ya kujilinganisha na vyama vya upinzani. Shame on you mtoa mada!
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Sinema inazidi kunoga! Vipi alikuwa na Zecomedi au pi piiiiiii hatuelewani; na vipi suala la pilau lilikuwepo kama miaka 34 ya ccm ilivyohitishwa kule Dom, manake katibu wa chama aliwakaribisha watu na kuwahakikishia uwepo wa pilau, maji na soda.
Maandalizi yako vipi siku akiingia Februari M-mba au R-1; kama hii imekuwa ni mashindano natoa pendekezo - ipigwe mbiu ya mgambo ndani ya Bukoba; na viandaliwe viwanja viwili tofauti. Kiwanja kimoja kiwe ktk ya mji na kitumiwe na ccm (assume Makamba - katibu wa ccm ndiye atahutubia wananchi kueleza sera za chama chake); na kiwanja cha pili kiwe nje ya mji (atakapo kuwepo katibu wa Cdm - Dr Slaa). Wanachi wapewe hiyo taarifa na wachague mkutano watakaopenda kuhudhuria; na ipitishwe sensa.

Unategemea mkutano wa ccm pamoja na kwamba utakuwa kati ya mji na unaweza kufikiwa kwa urahisi wanaweza kuushinda ule wa CDM! Tafakari.
 
Nafikiri CCM hawajajua ukubwa wa kazi mpya waliojipa ya kuihubiri Chadema. Yote wanayojaribu kufanya kwa hoja tepetepe au hata kwa nguvu za dola yanaijenga zaidi Chadema kuliko kuibomoa. Amini usiamini, sio kila aina ya laana inakuwa ni laana. Hili wanalolifanya CCM ingawa wao wanaona litawalaani Chadema ukweli wa mambo ni kuwa linazidi kuwabariki waendelee kufanikiwa.
Ninachojiuliza ni kuwa ina maana sasa hivi hakuna yoyote mwingine anayeweza kufikiria zaidi ya mwenyekiti wa chama? Je ni kweli kila anachosema lazima kikubaliwe kama ndio msahafu?
Kinachoila CCM kiko ndani ya CCM yenyewe na siyo mikutano ya Chadema. Waendelee kufunga macho wakijidanganya kwamba matumizi ya dola na vitisho ndio yanakinusuru chama. Ipo siku na sio mbali sana mpira wataokotea wavuni. Aibu kweli kweli.
 
[SIZE=3 said:
Mbavu za Mbwa[/SIZE];1703654]Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

spare ribs .... mbavu za nguruwe
 
Back
Top Bottom