Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

Familia kwanza mimi binafsi siwezi mpeleleka my son or daughter kwenye elimu isiyo na uhakika
Serikali haina sheria inayomkataza mtumishi wake kumpeleka International skuls binti au kijana wake.
kama ni pesa halali haina shida.
Pesa zipo acha watoto wapate elimu bora na si bora elimu.
Kuwepo kwa skool binafsi haimaanishi kuwa elimu ya shule za serikali ni duni, UK is the best centre in this world kwa elimu, cha kujiuliza kuna private school kama njugu, na raia wa kawaida wanawapeleka shule hizo.

Ndio mfumo wa maisha, all is about business.
 
Hebu acheni ujinga hivi kweli mie niwe na hela nimepeleke mtoto Kayumba?
Wacheni kusomesha mtoto Feza sio kosa maana analipia hela zake
Ila wasijitie unafiki wa kujifanya wazalendo, mbona jpm wanae wanasoma shule za serikali? Kwani hana feza za kuwapeleka huko feza schools?
 
Kwa elimu ni juhudi za kila mzazi kupambana na elimu ya mtoto wake siasa ni unafiki usiamini mwanasiasa yoyote zzk elimu bure haitekelezeki madhara tutakuja kuyajutia baadae hili bomu likilipuka litalipuka kweli
 
Tusema Mwigulu amekosea, turudi kwenye Elimu yetu wewe ulikuwa na pendekezo gani labda tofauti na Serikali ilivyofanya mpaka sasa? Yaani wewe ungefanya nini tofauti ukichukulia uwezo wetu kiuchumi ulivyo kwa sasa?!
Serikali inatengeneza na kubariki madaraja katika jamii, watoto wa matajiri wanapata fursa ya elimu bora wakati maskini wanapata "elimu ya hapa na pale" baraza la mitihani linatunga mtihani wa aina moja bira ya kujari mazingira ambayo wanafunzi wanatoka. This is unfair, maskini tutabaki maskini daima na matajiri watabaki kuwa matajiri! Ni bora serikali ingebadilisha mawazo ya kutoa elimu bure na kutumia hizo feza kukalabati na kuziimalisha shule zake, ndani ya miaka kumi na tano shule zote zingekuwa katika level ambayo inaweza isiwe sawa lakini inayo karibiana.
 
Changamoto hizi hawakuziangalia kabla hawajaanza huu mpango?? Tutaona....!!!
Muda huo wangeupata wapi wakati huo mpango ulichomolewa upinzani na kuifanya agenda kwenye kampeni zao,hayo ndio matatizo ya kukurupuka kama ule wa M4C
 
Changamoto hizi hawakuziangalia kabla hawajaanza huu mpango?? Tutaona....!!!
Ndio mambo kilasiku tunayosema haya vitu aviangaliwi kwenye picha kubwa mtu anaweza amka asubuhi na kusema tu kitu bila ya kufanya tathmini halisi ya urefu wa kamba yake na matokeo yake siku zote benchmark ya kupima mafanikio hakuna, changamoto ambazo azikufikiriwa uibuka baadae na kugundua gharama ni kubwa zaidi, wakifidia huko kwengine miradi inakosa hela, kwakuwa the whole thing was unplanned ufujaji nao aukosekani; hili ni janga serikarini.
 
Serikali inatengeneza na kubariki madaraja katika jamii, watoto wa matajiri wanapata fursa ya elimu bora wakati maskini wanapata "elimu ya hapa na pale" baraza la mitihani linatunga mtihani wa aina moja bira ya kujari mazingira ambayo wanafunzi wanatoka. This is unfair, maskini tutabaki maskini daima na matajiri watabaki kuwa matajiri! Ni bora serikali ingebadilisha mawazo ya kutoa elimu bure na kutumia hizo feza kukalabati na kuziimalisha shule zake, ndani ya miaka kumi na tano shule zote zingekuwa katika level ambayo inaweza isiwe sawa lakini inayo karibiana.
Kweli kabisa mawazo yako ni mazuri sana
 
Ndio mambo kilasiku tunayosema haya vitu aviangaliwi kwenye picha kubwa mtu anaweza amka asubuhi na kusema tu kitu bila ya kufanya tathmini halisi ya urefu wa kamba yake na matokeo yake siku zote benchmark ya kupima mafanikio hakuna, changamoto ambazo azikufikiriwa uibuka baadae na kugundua gharama ni kubwa zaidi, wakifidia huko kwengine miradi inakosa hela, kwa the whole thing was unplanned ufujaji nao aukosekani; hili ni janga serikarini.
Sielewi kwa nini hawajipangi wanapoleta hizi kanuni mpya hasa katika mambo ya muhimu kama elimu
 
Muda huo wangeupata wapi wakati huo mpango ulichomolewa upinzani na kuifanya agenda kwenye kampeni zao,hayo ndio matatizo ya kukurupuka kama ule wa M4C
Itakuja kuwatesa baadae na ndio kauli za elimu bure haitekelezeki zitakapofuata
 
Sielewi kwa nini hawajipangi wanapoleta hizi kanuni mpya hasa katika mambo ya muhimu kama elimu
Especially where cost is everything, majuzi tumemsikia raisi anasema changamoto ni kwamba wanafunzi wengi wamejitokeza zaidi kujiandikisha kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma ina maana makadirio yao ni ya historical data wakati kuna uhalisia wa idadi ya watanzania ambao wamefikia rika hilo la kujiunga na shule swala hilo hawakulifikiria na kama kweli serikari inaweza gharamia hizi ndio fikra za wapanga budget yetu.

Lowassa anajisemea tu chochote provided it is popular thing to say naona hili lilifikiriwa katika campaign na wao kwenye mashindano ya ahadi kwa wapiga kura. Either way kutokana na idadi ya watu waliojitokeza serikari lazima ikubali ya kuwa kumbe kuna wazazi wengi walikuwa awapeleki watoto shule kwa sababu ya malipo na michango ina maana somewhere cuts have to come kama elimu ni haki ya msingi if you ask me posho za wabunge iwe sehemu ya kwanza if we are in this together.
 
Huyu mtoto amenikumbusha kitabu kimoja cha zamani sana nilikiona utotoni. Watoto ni Taifa la Kesho. Nyerere alikuwa anapigania watoto wenye afya nzuri kama hawa.
 
Kuunga mkono hoja ndiyo unafki wenyewe....We all know CCM imeivuruga nchi na mifumo yote ya huduma za jamii.....

ni mjinga gani mwenye pesa zake atampeleka mwanae kwenye shule ya darasa moja watoto mia kisa tu yeye ni mtumishi wa uma???

Imeandikwa wapi ukiwa mtumishi wa umma hutakiwi kuwa na maisha binafsi....kwamba hata ukiwa na uwezo basi nawe uishi maisha duni....hayo waliyaweza manabii na mitume...akina yakhe siye ni kujidanganya....
Ili mradi havunji sheria au hapiganii ada elekezi kwa faida yake binafsi, it's ok.

What I find ironic ni huyu jamaa kuvaa maskafu ya bendera ya Tanzania hata kukiwa na joto vipi and yet kupeleka mtoto shule ya waturuki. Huyu tusimpe urais kamwe!!
 
Ili mradi havunji sheria au hapiganii ada elekezi kwa faida yake binafsi, it's ok.

What I find ironic ni huyu jamaa kuvaa maskafu ya bendera ya Tanzania hata kukiwa na joto vipi and yet kupeleka mtoto shule ya waturuki. Huyu tusimpe urais kamwe!!
Hahahaah bado Ana ndoto za urais na zaidi ndio mrithi wa pombe
 
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Tupe iyo mijadala tofauti uliyoiona uko ata kwa muktasal
 
Hata Mimi ningekuwa mwigulu mtoto wangu hawezi kusoma shule za kimasikini za serikali , walimu kila siku wanalalamika, vifaa hakuna nani ampeleke mwanae. Ukipata nafasi itumie.
 
Tatizo ni pale wanapozisifia shule za serikali watoto wao hawasomi huko kama zingekua bora kwa nini wasiwasomeshe huko wao?,uzalendo ni zaidi ya kuvaa tai na skafu za rangi ya bendera ya taifa.
Koh koh koh. Take your time mind your business leave out the politicians
 
Hili aliloonesha mwigulu halina chama labda tingatinga ndo anaweza kuwa mzalendo wa kweli.maana sio muoga anatumbua tu majipu
 
Back
Top Bottom