Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

Ona vijana wa ukawa wanavyo ropoka hapa!!

Wamesahau kwamba Tundu Lisu amewahi kusema hawezi kupeleka watoto wake kwenye shule za kata, wakatokwa povu sana kumuunga mkono Leo tena sijui wanaongea nn hawa??
Alisema hayo kwa sababu elimu kwa shule za serikali imeshuka sana na hii imetokana na sera mbaya za CCM. Sasa kama CCM wanadai elimu iko imara kwenye shule za umma, kwanini hao wanasema hilo wanapeleka watoto wao private? That's what PEOPLE ARE ASKING.
 
Uzalendo xio kuvaa skafu shingoni na tai watanzania vichwa maji ayo ni mavazi kama yalivyo mavazi mengine haaa haaa Tanzania mzalendo alikua baba wa taifa tu
 
Fedha hapa siyo ishu, kama Mwigulu angekuwa Mfanyabiashara hilo wala lisingekuwa tatizo, lkn yeye ni Mwajiriwa wa Serikali yaani mtu ambaye anapaswa awe sehemu ya suluhisho la matatizo ya nchi yetu na kila mtu anafahamu kwamba unaweza tu ukawekeza sehemu kubwa ya nguvu yako kutatua tatizo kama linakuhusu moja kwa moja, hivyo kama Waziri Mwigulu au Kiongozi yoyote yule mtoto wake angekuwa anakaa chini Shuleni au Shule haina choo ina maana yeye Mwigulu hili tatizo lingemgusa yeye moja kwa moja na hivyo kulazimika kulitatua kwa manufaa ya mtoto wake na Umma kwa ujumla, hiyo ndiyo maana ya kuwa Kiongozi na ndiyo maana anaitwa Kongozi wa Umma!
nakuunga mkono. hatujadili mshahara hapa au uwezo, kiongozi anatakiwa awe mfano......
 
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Ungejiuliza lowasa na familia yake uwa WANAPATA matibabu wapi na kujiita mzarendo ndo ulete ujinga
 
Ni KUKOSOA kazi ndo unaweza KUPATA muda wa kuleta Uzi za kijinga kama hizi
 
Ni KUKOSOA kazi ndo unaweza KUPATA muda wa kuleta Uzi za kijinga kama hizi
Huyo waziri anafanya kazi yetu saa ngapi? Anatakiwa awahi kazini. Matatizo kwenye wizara yake ni mengi mno. Agawane majukumu ya familia na mwenzake, Pesa ya mtanzania inayomlipa mshahara iende kwa haki. Kwa hali nchi yetu ilivyo wanatakiwa kufanya kazi 24/7 lakini wakitupa hata masaa 14 kwa siku si mbaya sana. Wakianza kutegea tegea wananchi wa chini tutaumia kwa kipindi kirefu zaidi.
 
Na
Wewe uliyeleta uzi wa kike kama huu uautofauti gani na walioleta uzi wa lowasa kujinyea wakati wakampain?
kuna tofauti...wale walikuwa wanakisoa afya ya mtu na kujivika majukumu ya uumbaji,kana kwamba wao wana kinga ya kutokuugua,matokeo yake wengi wamekufa na Lowassa kabaki
Halafu "relax" tu mkuu,huu ni mjadala,jadili kwa hoja,na uwe na heshima kwa mama yako aliyekuzaa,kwa hiyo "uzi wa kike" huu??ina maana una hadhi sawa na Mama yako mpaka uuite wa kike??Yaani inafikia unamfananisha Mama yako na uzi wa JF?Una mama kweli wewe??
 
Tatizo unavamia tuu bila kuangalia muendelezo wa maongezi kuna mtu alidai kwamba walimu wa shule duni hawajui ''kingeleza'' nikamwamwambia wao wanajua Kiingereza ila hicho ''kingeleza'' hawakijui ..alafu hakuna kitu kinaitwa ''Kingereza'' labda ni mtaa wenu huko kwenu acha kufyatuka kama ushuzi Mkuu before criticizing take your time and read
Alafu = Halafu.

Au ndiyo mambo ya TUKI?
 
Alafu = Halafu.

Au ndiyo mambo ya TUKI?
Uzuri ni kuwa nimekuonesha jinsi ulivyo mkurupukaji na chanzo cha haya yote ni tabia yako ya kuchukia kodi ....lugha niliisomea A level nilikuwa HKL lakini ninachoshukuru najitahidi kuitumia kwa ufasaha ....mimi taaluma yangu ni Taxation Management
 
Uzuri ni kuwa nimekuonesha jinsi ulivyo mkurupukaji na chanzo cha haya yote ni tabia yako ya kuchukia kodi ....lugha niliisomea A level nilikuwa HKL lakini ninachoshukuru najitahidi kuitumia kwa ufasaha ....mimi taaluma yangu ni Taxation Management
Alafu = Halafu.
 
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
smart people can not discus this.
 
Familia kwanza mimi binafsi siwezi mpeleleka my son or daughter kwenye elimu isiyo na uhakika
Serikali haina sheria inayomkataza mtumishi wake kumpeleka International skuls binti au kijana wake.
kama ni pesa halali haina shida.
Pesa zipo acha watoto wapate elimu bora na si bora elimu.
Naam swadaktaaa...elimu bure Tanzania shule inapewa buku 2 ijiendeshe
 
Siamini kama yupo humu mtu mwenye uwezo akasomeshe mwanae sehemu ambapo anafahamu fika hamna walimu, vitabu na vifaa vingine vya kumwendeleza mwanafunzi katika elimu, huku akiwa ana mbadala ambao anaumudu.
 
Hayo nimaamuzi yake
Hebu mtafute mambo ya maana kupata kick
Huo ni upumbavu
 
Back
Top Bottom