Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,225
- 232
Mimi hapa sielewi chochote. Muswada wapitishe wao halafu.........??!!?!?
Wameongezea 100% nyingine, kwa hiyo sasa ni 200% au vipi?Wanaenda kufanya nini wakati wameunga mkono muswada wote 100%?
CHADEMA na CUF wote ni wawakilishi wa wananchi, wanayohaki ya kwenda ikuluWameiga ya Chadema?
Hawa nao duni kweli kweli!
kama ile ya CHADEMA ilivyokuwa imenoga hadi wanacheka hovyo hovyo,yananoga hasa mnapokuwa mna upendo wa dhati kama hii ndoa yao ilivyo.
Sasa hawa ndiyo wanajua demokrasia, wamepitisha musuada sasa wanakwenda kuelezea mapungufu yake. Nadhani kama kuna watu wa kuwasikiliza ni CUF. Hawa wana nia ya dhati na maendeleo ya nchi.Mimi hapa sielewi chochote. Muswada wapitishe wao halafu.........??!!?!?
Kwa akili ya kawaida CHADEMA na CUF nani alistahili kwenda IKULU? mimi nadhani ni CUF, nasema hivyo kwa sababu ninavyoelewa mimi ni kwamba hata kwenda kumuona Rais bado ni MCHAKATO, sasa CDMA walishakataa mchako huo tangu bungeni.Wameongezea 100% nyingine, kwa hiyo sasa ni 200% au vipi?
Kwa akili ya kawaida CHADEMA na CUF nani alistahili kwenda IKULU? mimi nadhani ni CUF, nasema hivyo kwa sababu ninavyoelewa mimi ni kwamba hata kwenda kumuona Rais bado ni MCHAKATO, sasa CDMA walishakataa mchako huo tangu bungeni.
NASEMA HIVI CUF ndiyo walikwenda Ikulu kimchakato, CDMA aidha walikwenda Ikulu kumsalimia Rais wao, Kumsindikiza SLAA kumtambua Rais wake au walikwenda kuomba radhi mkuu wa Nchi kwamba waliteleza pale waliposusia kuchangia muswada wa katiba bungeni. Rais wetu ni mungwana atawasamehe tu.
Kwahiyo sisiem ina nyumba kubwa na ndogo?yananoga hasa mnapokuwa mna upendo wa dhati kama hii ndoa yao ilivyo.
halafu wamesahau kuvaa kanzu na baragashia.
Kuna mmoja amenifurahisha sana kwenye picha ,Katinga ..raba mtoni,suruali haijanyooshwa, na fulana ya kutungua..."typical uswahili...........at it most.!
Ikulu hakuna dress code!