Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

Wana wa chadema kwa hizi kauli zenu inaonesha hasaa kwamba huyu Zitto kwa vile Muislamu hamumpendi ndio lisilo budi. Na huyu Mbunge mwengine anaye vaa kofia munatamani afe, lakini wapi. Kazi udini udini.
 
ha ha ha hao si changu dowa, na dini yao ni Ki-Islamu na Mola wao ni Allah na Muhammad (SAW) ndio mtume wao wa haki na wa mwisho baada ya Nabii Issa (AS). Na wewe una uhuru wa kuvaa upendavyo hakuna atakaye kuzuwiya. Ni hao hao waliompokea Nyerere na kumtia mjini.....
 
Na angetumwa yule aliye mchachafa Freeman Mbwowe basi mambo yangekuwa mengine... ha ha ha ehee Hamad Rashid ndiye anayekuwezeni nyinyi
 
ha ha ha hao si changu dowa, na dini yao ni Ki-Islamu na Mola wao ni Allah na Muhammad (SAW) ndio mtume wao wa haki na wa mwisho baada ya Nabii Issa (AS). Na wewe una uhuru wa kuvaa upendavyo hakuna atakaye kuzuwiya. Ni hao hao waliompokea Nyerere na kumtia mjini.....

"Ziendeeni konde zenu mpendavyo!"
 
Aiiiiibu sana!
Kama watu wanaojiita viongozi wa chama hawawezi kubuni namna ingine ya kuwasilisha mapendekezo, zaidi ya kuiga wenzao....inatisha hii!
Ule wakati wa miaka 1961 ya kupigana kwa mitutu ya bunduki umeisha,hakuna njia nyengine ya kujadili mambo kama wanaume kwa kuongea sio kununa nuna kama mwanamke,kutoka bungeni kwa chadem imewakosesha wananchi fursa ya kupelekwa kilio chao au matatizo yao ?

Cuf haijaingia kwenye siasa leo,cuf ngome yake ni zanzibar,zanzibar ndio kituo cha siasa,wanaijua siasa vizuri,zanzibar hainza leo kuongozwa na vyama vingi,kabla yata mapinduzi nchi tayari ilikuwa iko katika system ya vyama vingi.

Jifunzeni nyakati,hali ya amani zanzibar ilipatikana kwa mazungumzo,sasa munaonaje busara walio ichukua chadema kuenda ikulu kupeleka kabrasha lao,na kufanya mazungumzo ? Wangeendelea kununa nani angepeata hasara ? Chadema au wananchi ? Wananchi ndio watao umia sio chadema,viongozi wataendelea kula posho zao na kuongeza vitambi,na wanachi wataendelea kusota.

Tutumie njia ya mazungumzo katika kujadili mambo na ku solve,cuf wako imara,ila lege lege ipo kwa kila chama,hakuna binadamu mkamilifu.

NGANGARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
CUF wanatumiwa na CCM kuchochoa ugomvi ili CCM iendelee kutawala. Huyu Mnyaa si ndiye aliyekuwa kinara wa kuporomosha maneno bungeni badala ya kuchangia muswada? Anaenda kuchukua notes ili atukane zaidi kwenye kikao kijacho cha bunge? Na mwenyekiti wao yuko wapi?


Mkuu kopo ni kopo watasema nini kama siunafiki/ushambenga umewapeleka cuf kifo kinawaita
 
Wana wa chadema kwa hizi kauli zenu inaonesha hasaa kwamba huyu Zitto kwa vile Muislamu hamumpendi ndio lisilo budi. Na huyu Mbunge mwengine anaye vaa kofia munatamani afe, lakini wapi. Kazi udini udini.

acha udini mkuu.
 
Hivi ni macho yangu hayaoni vizuri au? Naona kama Bw. JULIUS Mtatiro ana JICHO la tatu!
 
JULIUS MTATIRO,Hebu tuambie hiyo ngeu ulipigwa Igunga au inakuwaje?Maana hata Maalimu Seif sio kubwa kihivo ati?Ndio Principal za CUF nini?AL Shaabab Agents in Tanzania
 
JULIUS MTATIRO,Hebu tuambie hiyo ngeu ulipigwa Igunga au inakuwaje?Maana hata Maalimu Seif sio kubwa kihivo ati?Ndio Principal za CUF nini?AL Shaabab Agents in Tanzania

Acha udini (ukristo) utakufa kwa ujinga huu wa kuendekeza udini angalia hoja siyo din ya mtu
 
Nahisi kutapika
Kuna baadhi ya vitendo vinaweza kuwasababishia watu kuichukia CUF hadi kutamani kutapika. Hivi kweli viongozi wao hawa wana akili sawasawa?

Wanaenda fanya nini Ikulu kama walishauafiki muswada ule wa katiba kule Bungeni? Walikwenda kufanya maigizo kama yale ya Ze Comedy Orijino au walikwenda mpongeza shoga yao kwa "Kazi nzuri" ya kuigandamiza demokrasia? Historia itawahukumu.

Ama kweli sasa nimeamini, CUF si mojawapo ya vyama pinzani hapa nchini. Shame on you CCM, shame on you CUF and your cohorts, time is against you and you will be judged by history.
 
Uchangudoa hasa wa kisiasa ni hatari. Wanavyojichekesha wasijue wao makapi!

CUF ilikufa siku madevu alipojiuza kwa Dk Shein akamfanya nyumba ndogo kisiasa. Sijui wale waliopoteza wapendwa wao kwenye vurugu alizoanzisha Madevu akisaka ulaji wanapomuona ameridhika na usaliti wake wanajisikiaje na kumuelewaje salata huyu? CUF wamekwenda kufua nepi za Jakaya kwa malipo ya vyeo uchwara.

Wana jipya gani zaidi ya kujikomba lau watupiwe makombo zaidi? CCM wanachekelea kuwaweka kimada CUF.
 
ado sijaelewa hasa CUF nao waliomba kumuona rais ili iweje?? yaani kama wake/waume wenza kwamba umemnunulia huyu kanga na mie nataka..au mbona huyu ulimfanyia huyu hivi na mie nataka..seriously???
 
Back
Top Bottom