Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

JULIUS MTATIRO,Hebu tuambie hiyo ngeu ulipigwa Igunga au inakuwaje?Maana hata Maalimu Seif sio kubwa kihivo ati?Ndio Principal za CUF nini?AL Shaabab Agents in Tanzania

kwi kwi kwi...tehe tehe...jamani mbavu zangu! Ukweli mwingine jamani!
 
Dah! Nafikiri kazi ya Wassira ni kupokea wageni,cheki anavyomkumbatia huyo mtu wa CUF na jamaa wa CUF kajiachia kama mwanamke au ni mkameruniwa nini?
 
Mnyaa na jusa hawana hata chembe ya aibu, ni wao walikuwa wanachangia bungeni kwa kumjadili tundu lisu na jukwaa la katiba badala ya kujadili vifungu vya mswada...sasa leo ndo wamefumbuka kuwa walikuwa wrong?

Hivi hizi suti zao mbona zaonesha kama wameazima kwa dobi? nyingine pwetepwete! heri wangevaa kanzu zao!

Ila yaonesha ujumbe huu wa ccmB Cuf ulizaraulika kujipeleka ikulu ona upande wa serikali hata convoy imepungua si kama walivyojiandaa kuwapokea chadema! hata quality ya picha ni poor.
 
Alafu mbona Hamad Rashid hakwenda? Au ndio mkakati wa Maalim Seif kummaliza baada ya kusikia kwamba Hamad anautaka ukatibu Mkuu wake?
 
There some things when you hear them you just do not know know what to say, you are left speechless! These guys agreed to everything in that document. Now what the hell are they going to talk about in there?
 
Vipi juice walikunywa? Maana walifata maakuli tu,kama muswada waliupitisha kwa kishindo na kuunga mkono kwa 100%
 
Hawa jamaa wameamua kupita nyuma ya CHADEMA labda watapatapata mafanikio. Lakini sidhani!
 
MAzingaombwe tu haya!!

Zanzibar imerudi enzi za kabla ya 1992/hakuna upinzani wa kweli..... Nadhani hii void inaweza kusababisha kuibuka kwa pan-Islamic parties (kama enzi zile za Hizbu, etc.) ambazo zitawakilisha mawazo halisi ya wananchi
 
Jamani hao CUF..,wameenda kutalii tu..,nasikia walishangaa sana bustani za ikulu pamoja na ndege wa tausi
 
Ikulu mnafuata nini wakati keshasaini muswada? .... Any way sio mbaya kama mnaenda kusafisha nyota.
 
Back
Top Bottom