Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

Ukijumlisha matokeo haya ya CUF na CDM kukimbilia Ikulu baada ya Hutuba ya Rais Kikwete ya tarehe 18/11/2011 ni wazi kuwa Vyama hivyo viwili unavyoweza kuviita vingozi wa Kambi ya upinzani vimebwaga Manyanga. Wameonyesha udhaifu wao kuwa hawana Mziki mbele ya Magamba Club.
Kuna haja warudi Darasani ili waje na mbinu mpya.
 
CUF sio mbumbumbu, nyinyi mumelala kweli. Hivo chadema wamekubali yote ambayo CUF walikuwa wakipigania SERIKALI TATU. Hahhahaha, nyinyi vichekesho kweli. Basi subirini muipate ya Zanzibar karibuni. Tanganyika inarudi na muungano harijojo. hahahahahahah. Mutauchuna mwaka huu.
 
Mimi hapa sielewi chochote. Muswada wapitishe wao halafu.........??!!?!?
Sasa hawa ndiyo wanajua demokrasia, wamepitisha musuada sasa wanakwenda kuelezea mapungufu yake. Nadhani kama kuna watu wa kuwasikiliza ni CUF. Hawa wana nia ya dhati na maendeleo ya nchi.
 
Cuf chama cha vilaza,tusiwaongelee kbsa kwa mziki kwao umeshakwisha,wamebaki kujilambalamba kwa mmuwe
 
Wameongezea 100% nyingine, kwa hiyo sasa ni 200% au vipi?
Kwa akili ya kawaida CHADEMA na CUF nani alistahili kwenda IKULU? mimi nadhani ni CUF, nasema hivyo kwa sababu ninavyoelewa mimi ni kwamba hata kwenda kumuona Rais bado ni MCHAKATO, sasa CDMA walishakataa mchako huo tangu bungeni.

NASEMA HIVI CUF ndiyo walikwenda Ikulu kimchakato, CDMA aidha walikwenda Ikulu kumsalimia Rais wao, Kumsindikiza SLAA kumtambua Rais wake au walikwenda kuomba radhi mkuu wa Nchi kwamba waliteleza pale waliposusia kuchangia muswada wa katiba bungeni. Rais wetu ni mungwana atawasamehe tu.
 
ujinga mwingine huu
 
rwtn3q.jpg

Hivi huyo hapo juu wa kwanza kulia front row ndo nani?
 
huyo jamaa aliyekaa pembeni mwa wasira kavaa jinsi na t-shirt ni nani? maana kama kakurupuliwa. ila kwa hadhi ya kikwete t-shirt na jinsi naona ni sawa tuuuuuu.:nerd::nerd::nerd::nerd::nerd::washing:
 
Kuna mmoja amenifurahisha sana kwenye picha ,Katinga ..raba mtoni,suruali haijanyooshwa, na fulana ya kutungua..."typical uswahili...........at it most.!

Ikulu hakuna dress code!

Labda ni kijana wa kazi,siyo Deus Mallya kweli huyo?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom