Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Haya tena IDD hii wanaenguaje na warembo wetu walitoka kama ifuatavyo katika viota mbali mbali vya burudani na maraha.. ENjoy weeknd ndio hiyooo inabeep kwa karibu
Duh mkuu huwa unazitoa wapi hizi mie nimezinguka na hizi mbili, ya kuu hicho kikuku na ya chini hiyo shanga ya cheniHaya tena IDD hii wanaenguaje na warembo wetu walitoka kama ifuatavyo katika viota mbali mbali vya burudani na maraha.. ENjoy weeknd ndio hiyooo inabeep kwa karibu
huyo wa mwisho mmh! unapiga mambo huku unaona na maua!
Mh mkuu mbona unanitisha!maana ua lake lipo mgongoni wewe utalionaje?Toba jamani mtatandao wa TIGO unaenea kwa kasi!!!
Du aisee wanavutia!!!
Ndiyo nini tene mkuu au unaomba namba zao za simu?pepelush...
Haya tena IDD hii wanaenguaje na warembo wetu walitoka kama ifuatavyo katika viota mbali mbali vya burudani na maraha.. ENjoy weeknd ndio hiyooo inabeep kwa karibu
Ndio maana yake ambapo baadhai ya ndege tu ndio huingiamoHeading imenichekesha mno.
Eti 'Viota vya burudani'
>>>zinaa ni mbaya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
>>>kuweni makini ukimwi upo........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
>>> kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu!!!!!!
>>> subiri wakati wako......!!!!
>>> tumia kondomu kupanga uzazi na mpenzi wako au mke wako tu
Umeeleweka mkuu.>>>zinaa ni mbaya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
>>>kuweni makini ukimwi upo........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
>>> kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu!!!!!!
>>> subiri wakati wako......!!!!
>>> tumia kondomu kupanga uzazi na mpenzi wako au mke wako tu
Katavi inaonekana mroho!!!Du aisee wanavutia!!!
duh huyo dada wa kwanza kwenye kifunda cha mguu (ankle) mkorogo umedunda