Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

TTCC_TECNO

Member
Oct 23, 2023
22
10
Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT LEVEL”.
Haya ni mapinduzi jinsi watu wanavyorekodi nyakati zao mbali mbali katika hali ya mwanga hafifu. Ni zaidi ya kamera ya kawaida kwa kutoa mwangaza unaoweza kurekebishwa kwa viwango vitatu vya mwangaza katika marekebisho yako ya camera ya mbele. Kwa camera hii ya “3D flashlight Level”, unaweza kuangaza mazingira yako yenye mwanga hafifu, na kuhakikisha picha zako za usiku hazina mchafuko wala hazina mwanga hafifu.
screenshot-20231102-155442.png
TECNO Spark 10 ndio simu pekee iliyofanikiwa kuleta kipengele cha kipekee cha camera ya mbele yenye “3D FLASH LIGHT LEVEL” ambacho kinabadilisha jinsi picha zinavyopigwa katika hali ya mwanga hafifu.
Teknolojia hii inampa mtumiaji hasa uwezo wa kuchukua picha zenye mwangaza na ubora hata katika hali mwanga hafifu kwa vijana wa kizazi kipya kulingana na utandawazi .Teknolojia inaendelea kuboresha, na huu ni mfano mwingine wa jinsi simu za mkononi zinavyokuwa zana yenye nguvu kwa ubunifu na uhifadhi wa kumbukumbu.Na Spark 10, haipigi tu picha bali inahifadhi kumbukumbu, je ungependa kujaribu ujuzi wa teknolojia hii mpya?
 
Back
Top Bottom