Huyo ni vasco dagama bana!
anapendeza kweli...
ameanza? si nilisikia no more safaris?
Umenichekesha sana, nakumbuka magufuli alivyompongeza JK kuwa safari zake zinaleta matunda"Wanasema ninasafiri safiri sana. Kah! sasa wanataka nikae nao tu, tule nao mihogo?" JK ....Mwisho wa kumnukuu
Nachokoza mjadala.. Hivi ni Gavernor General akitambulishwa au Membe akitambulisha?..
This time naona Salma kabaki.
Umenichekesha sana, nakumbuka magufuli alivyompongeza JK kuwa safari zake zinaleta matunda