PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

Full kuogopa

attachment.php
 
Mh.. Kweli Presidaaa tunae.. Ila niliwahi kusoma humu humu JF.. Presidaaa kumbe hobby yake ni kusafiri.. Na anasafiri huyu Bwana..!!!
 
JFfffffff you make my days seem better

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Maraisi wa Africa Huko Kwa Wazungu Wanazarauliwa sana, Mfano USA OBAMA kwa Bara la Africa anaweza enda Uwanja wa Ndege Kumpokea Raisi wa South Africa Pekee, Hao wengine wanapokelewa na Watu wa Kawaida tu
 
Huyo ni vasco dagama bana!
Sasa wewe ulitakaje kila siku akae asikie kesi za kuchunana ngozi,askari kajiua,boda boda yaparamia meza ya machungwa,waziri fulani kafumaniwa,madaktari wagoma,CDM wapigana mkutanoni au Kigwamngwala kamtishia Bashe bunduki,aaaaaaaahh!!!! mwache apumzike kidogo baba Mwanaasha.

Hata mkila majanai mimi nje ya nchi nitakwenda tu,na vitoroli vya farasi nitapanda sana.
 
Mwenzenu ameenda kuwahakikishia kuwa yale mabadiliko ya sheria ya madini yaliyoongera mrahaba, utekelezaji atahakikisha anaukwepa hadi atoke madarakani!!!

Ni mwendo wa kutembeza bakuli tu!!

Hamna kipya anachoenda kufanya huko ni kutembeza bakuli tu......inatia aibu sana maana ni too much na kila siku jamani inawezekana kweli, anakwepa vitu vingi sana na anafahamu hivyo.....
 
JK yupo Canada lakini ili kumwona inabidi ulipie walau $120 kwa kichwa....! Bofya
Mkuu Mkandara heshima yako.

Hiyo ni kawaida na mambo haya yalikwishatayarishwa "months ago", kwani watu walikwishaambiwa in advance si unaona malipo kabla ya 9th sept kuna discount?

Nimependa kuona baadhi ya watanzania wenzetu walivyopiga hatua kuhusu haya mambo ya "event management".
 
Kaenda kubembeleza Barrick wasiuze kwa Wachina waendelee kubakia miaka 20 ijayo ili wakiingia CDM wakute mashimo matupu!

Maana sera imebadilika ndio Barrick wanatangaza hasara!!
 
Maraisi wa Africa Huko Kwa Wazungu Wanazarauliwa sana, Mfano USA OBAMA kwa Bara la Africa anaweza enda Uwanja wa Ndege Kumpokea Raisi wa South Africa Pekee, Hao wengine wanapokelewa na Watu wa Kawaida tu
wewe unafikiri kwanini maraisi wa afrika wanadhalaulika?....mfano kama wewe ukisikia majina kama Galileo Galilei, Isaac Newton, Abraham Lincoln, William Shakespear, Albert Einstein, Bill Gates unajisikiaje?
 
Mkuu Mkandara heshima yako.

Hiyo ni kawaida na mambo haya yalikwishatayarishwa "months ago", kwani watu walikwishaambiwa in advance si unaona malipo kabla ya 9th sept kuna discount?

Nimependa kuona baadhi ya watanzania wenzetu walivyopiga hatua kuhusu haya mambo ya "event management".
Wala sina noma na maandalizi lkn binafsi yangu sioni kabisa sababu ya rais ambaye hajawahi kutembelea Canada, leo kaja nchini asikutane na Watanzania wote japo ubalozini Ottawa, kisha mambo mengine yakafuata.
 
WaTZ kwa madesa bwana.......yaani mtu kafanya mtihani 1960s mapaka leo anabeda desa tu......mizigo mingine bana

aibu tupu

attachment.php
 
Kapokelewa airport na waziri wa mambo ya nje? Wazungu wanatudharau hivyo. waziri mkuu au gavanaa walikuwa bize?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom