PICHA: Mtoto wa Oscar Kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga

Kwa hiyo ulitaka chama kiwe na wanachama gani manake sasa kila kitu kikifanywa mnakosoa ,
Leo mnasema mwenyekiti anavaa koti moja kesho majina makubwa yakianza kujiunga mnasema wanataka ubunge ,... tutafika kweli???

Kwanza jifunze kusoma na kuelewa. Wapi nimesema anataka ubunge?

Tunachotaka ni wanachama wote kuwa na hadhi sawa, sio wengine kupewa upendeleo kwa kuwa ni watoto wa watu wenye kujuulikana

Hadi muda huu CHADEMA kama CCM imeshindwa kuonyesha kuwa wanachama wote wanahadhi sawa, badala yake inaonyesha watoto wa waasisi wa chama au watu mashuhuri kwenye jamii kuwa wanapema kipaumbele

Ndio haya, mtoto wa Kambona kaanzishiwa thread, sio kwa merit yake, ni kwa sababu alibahatika kuzaliwa na Kambona

Chama kinafanyiwa marketing kama kampuni ya kibiashara. Hao wanaotumika wakidai malipo kama ubunge mtawezaje kukataa?
 
Dah!
Una lako jambo wewe
 
kwanza jifunze kusoma na kuelewa. Wapi nimesema anataka ubunge?

Tunachotaka ni wanachama wote kuwa na hadhi sawa, sio wengine kupewa upendeleo kwa kuwa ni watoto wa watu wenye kujuulikana

hadi muda huu chadema kama ccm imeshindwa kuonyesha kuwa wanachama wote wanahadhi sawa, badala yake inaonyesha watoto wa waasisi wa chama au watu mashuhuri kwenye jamii kuwa wanapema kipaumbele

ndio haya, mtoto wa kambona kaanzishiwa thread, sio kwa merit yake, ni kwa sababu alibahatika kuzaliwa na kambona

chama kinafanyiwa marketing kama kampuni ya kibiashara. Hao wanaotumika wakidai malipo kama ubunge mtawezaje kukataa?
point!
 
Mkuu kwa vile umeposti, wewe jibu swali!
Katika masuala haya sina imani kabisaaaa!
Si Dr Slaa yuko kwenye shauri mahakamani? au unafikiri tumesahau.
Boss,
Masuala ya familia ya mtu hayatuhusu na sio kazi yetu kuchunguza maisha ya watu , huyu ni mwanachama m,pya kama wengine, wewe kama una lako jambo basi utafute majibu huko kwenye udaku
 
Nimeisoma KATIBA yao CHADEMA. Hakuna nafasi ya Mwenyekiti- CHADEMA-UK kwenye KATIBA hii. Tundu lissu ni mchungu wa sheria na KATIBA inapokiukwa. Hili analisemaje? Na lenyewe ni BATILI ab initio. Hebu likemee hili Tundu Lissu. Msipoweza kuheshimu katiba yenu ni vigumu kuiheshimu na kuilinda ya NCHI yenu.
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.

Aligusa pasiposhikika kwenye maasi ya wachache na sidhani kama Nyerere ndie alimtimua labda useme CCM.
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.

Radhia Blue Monday imekuvuruga nini ? Sasa Oscar ndio Neema ama.Moses Nnauye ndio Nape ...?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.

Kwani Nyerere na siasa zake bado zipo? Si ndio maana ya siasa za vyama vingi?
 
Ukweli husemwa:

Siasa za watembezi kutoka bongo bana, kila kitu utapata. swaga, majigambo, mbwembwe na uchakachuaji. Ukizichungulia kwa undani, hakuna kitu chochote cha maana. Si CCM UK wala CHADEMA UK. Leo CHADEMA wanakuja na santuri nyingine mpya yenye kichwa cha habari kinachoweza hata kumfanya kichaa akapona. Kesho ni zamu ya CCM UK.

Kweli kasi ya CHADEMA UK inatisha, kama ndiyo kukutana kwenye pub za East London na kuanza kujadili mstakabali wa taifa baada ya kutandika Guinness foreign extra na Jack Daniel na hapo hapo wengine kuanza kukumbuka kama wanahitaji kuwa na tiketi yenye kitambulisho chenye nembo ya CHADEMA itakayowapa usafiri wa bure kwenye Pub za Wakenya na Wanaigeria za East London. Kweli siasa kwa sasa zimefika kwa wenyewe.

Hata hivyo, bora ninyi mnaopenda tujue kama CHADEMA UK ofisi ziko kwenye meza za Pub. CCM UK wao hata pesa za kutokea nje hawana, achilia mbali ukumbi wa mikutano. Mikutano yao inafanyika jikoni kwenye one bedroom flat.

Kwa nini tusiendelee kufanya kile ambacho tunakiweza (box na kuosha wazee wa kizungu) kuliko kujiingiza kwenye taaluma ambazo hatuna ujuzi nazo.

Watembezi wa Ulaya, ni vizuri ya Kaizari tumwachie kaizari na sisi tuendelee na ya Mussa

Pamoja na ukweli huu; lakini usipuuzie hao unaowaita watembezi wengi wao ni watoto waliotoka kwenye family za kawaida sana na ni watu wenye upeo wa juu tu ila kwasababu wakati wao nchi yetu ilishaanza kuharibu misingi ya kijamaa na kujitegemea iliyokuwa inatoa fursa kwa wote so wakajikuta hawana jinsi isipokuwa kubaki ughaibuni kubeba maboksi....Ninawafahamu wengi wa hao na nimekuwa nao kwa muda mrefu sehemu mbali mbali kuanzia Europe; Canada; USA; Australia so usije ukawa under estimate sana actually ndiyo potential ambayo imesaidia sana M4C ikazaliwa TZ so please give them their due respect! Na hao ni hazina kubwa itakayoisaidia CDM kupeleka nchi inakotakiwa....We naona umeonja supu za jikoni ndizo zenye kukupa kiburi.. Kule kwetu uhayani tuna watoto wa walangila wanaojiona nao ni wafalme wakati hata viatu miguuni hawana lakini kwasababu ya historia ya zamani bado wananyanyua mabega kuwa na wao wamo..Ndivyo navyokutafsiri wewe nisamehe kama nimekuosea!
 
Ukweli husemwa:
Hata hivyo, bora ninyi mnaopenda tujue kama CHADEMA UK ofisi ziko kwenye meza za Pub. CCM UK wao hata pesa za kutokea nje hawana, achilia mbali ukumbi wa mikutano.
Mikutano yao inafanyika jikoni kwenye one bedroom flat.
Watembezi wa Ulaya, ni vizuri ya Kaizari tumwachie kaizari na sisi tuendelee na ya Mussa

cl2.jpg

Du UK kiboko bwana yaani jikoni au bedroom kumbe zinatosha kufanyia vikao, mmeendelea sana
 
Pamoja na ukweli huu; lakini usipuuzie hao unaowaita watembezi wengi wao ni watoto waliotoka kwenye family za kawaida sana na ni watu wenye upeo wa juu tu ila kwasababu wakati wao nchi yetu ilishaanza kuharibu misingi ya kijamaa na kujitegemea iliyokuwa inatoa fursa kwa wote so wakajikuta hawana jinsi isipokuwa kubaki ughaibuni kubeba maboksi....Ninawafahamu wengi wa hao na nimekuwa nao kwa muda mrefu sehemu mbali mbali kuanzia Europe; Canada; USA; Australia so usije ukawa under estimate sana actually ndiyo potential ambayo imesaidia sana M4C ikazaliwa TZ so please give them their due respect! Na hao ni hazina kubwa itakayoisaidia CDM kupeleka nchi inakotakiwa....We naona umeonja supu za jikoni ndizo zenye kukupa kiburi.. Kule kwetu uhayani tuna watoto wa walangila wanaojiona nao ni wafalme wakati hata viatu miguuni hawana lakini kwasababu ya historia ya zamani bado wananyanyua mabega kuwa na wao wamo..Ndivyo navyokutafsiri wewe nisamehe kama nimekuosea!

Mkuu, heshima yako.

Unajua hawa wanaoamini katika wabeba maboksi na waosha wazungu ndio hivyo wanavyoaminishwa na hilo sio kosa lao bali ni ufundi tu wa kuvuruga mtiririko wa maoni na mawazo.

Cha msingi ni kwamba wengi wa watanzania walio nje wanapenda kuona Tanzania inabadilika kwa kufuata muelekeo unaostahili kuendeleza taifa letu na hatuna budi kudharau kebehi, matusi na kashfa.

Mahali popote penye ujinga hapakosaniki chuki, elimu duni na kutotumia akili kujiletea maendeleo, na wapiga kura wengi leo wanaona tofauti ya CHADEMA na CCM na hata Mzee Johnson Mbwambo katika gazeti la Raiaa Mwema lenye kichwa cha habari- "Tumsaidie Sitta kuona asichokiona CCM" , amesema kwenye makala yake ya kila juma na hii link hapa- Raia Mwema - Tumsaidie Sitta kuona asichokiona CCM!.

Kwahio mkuu tusonge mbele na tuachane na wazomeaji.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Pamoja na ukweli huu; lakini usipuuzie hao unaowaita watembezi wengi wao ni watoto waliotoka kwenye family za kawaida sana na ni watu wenye upeo wa juu tu ila kwasababu wakati wao nchi yetu ilishaanza kuharibu misingi ya kijamaa na kujitegemea iliyokuwa inatoa fursa kwa wote so wakajikuta hawana jinsi isipokuwa kubaki ughaibuni kubeba maboksi....Ninawafahamu wengi wa hao na nimekuwa nao kwa muda mrefu sehemu mbali mbali kuanzia Europe; Canada; USA; Australia so usije ukawa under estimate sana actually ndiyo potential ambayo imesaidia sana M4C ikazaliwa TZ so please give them their due respect! Na hao ni hazina kubwa itakayoisaidia CDM kupeleka nchi inakotakiwa....We naona umeonja supu za jikoni ndizo zenye kukupa kiburi.. Kule kwetu uhayani tuna watoto wa walangila wanaojiona nao ni wafalme wakati hata viatu miguuni hawana lakini kwasababu ya historia ya zamani bado wananyanyua mabega kuwa na wao wamo..Ndivyo navyokutafsiri wewe nisamehe kama nimekuosea!

You miss my point,
Ukisoma ujumbe wangu kwa undani zaidi, nimesema watembezi lakini nikawa specific, CCM UK na CHADEMA UK. Ninawasema hawa specific kwa vile ninawafahamu vizuri, nimewaona wakati nikiishi huko katika shughuli zao za kisiasa na kijamii. Siwezi nikagusia watembezi wengine wanaoishi katika nchi zingine zaidi ya UK kwa sababu siwajui kwa undani zaidi.

'supu ya jikoni' Inategemea utakuwa unaangalia kwa kutumia jicho moja au mawili na unakuwa na mtazamo gani wakati unanichambua na kuchambua post yangu.

Ukweli uko palepale, CCM UK na CHADEMA UK ni walewale na hawana lolote. Kwa msaada zaidi, naomba ujue kwa sasa wamefikia hatua ya kuanza kupigiana simu polisi na kuchomeana ili watu wawe deported kwa sababu ya tofauti tu ya 'kiitikadi'. Kama mawazo kama haya ndiyo hazima. Kweli taifa letu litasonga 'mbele'.
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.
Kwani hii ni video mpaka uone kila move???
Sijaona mantiki ya kusema kuwa baba alifukuzwa na nyerere so chadema wasimpokee mtoto wake.
How old are u???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Uanachama wa huyu mama na wengine waliojiunga wakiwa huko UK ni batili. Katiba ya CHADEMA hairuhusu mambo haya kufanyika nje ya matawi yao ambayo yako ndani ya TANZANIA tu.
 
Back
Top Bottom