T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
hatari ninayo ihisi
baada ya hapo wataunda Jeshi la Kiislamu la Kusini mwa Tanzania
kwa sababu sio wa kaskazini?
hatari ninayo ihisi
baada ya hapo wataunda Jeshi la Kiislamu la Kusini mwa Tanzania
Unyumba siombi natumia. na gesi lazima tuisafirishe Tanzania nzima
ingependeza kama heading ingekuwa picha ya wanamtwara na sii
"Umati Mkutano wa Waislamu Mtwara"
Dar nzima kesho vijana wote wapenda mabadiliko mnakaribishwa msimbazi center ilala kawawa road kituo cha bas ni msimbazi kuanzia saa 3 asb... kutakuepo na viongozi wa kubwa wa kitaifa CDM na majibu ya tuhuma zote zitatolewa......
Mkianza kujigawa kimakundi hamtafika popote...wekeni udini pembeni!
Hakuna unalolizania..Haya mnayoyashabikia subirini mtavuna mnalolitaka ,Mungu wa Yakobo atuepushe ,hamuelewi hatari mnayoipandikiza katika taifa kushabikia upuuzi unaofanywa .na wanamtwara na kuungwa mkono na akina zitto ,hautakua muda mrefu mtavuna machungu ,,,,,oooooh ole wa kizazi kilichopofuka na kushindwa kuyajua yaliyorohoni ,,,,,mmetegwa na Ibilisi na kuingia kichwakichwa
Khabari njema
hii!
Sasa mwambieni Dr Dhaifu, aandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha,
polisi wa kutosha, jwtz wa kutosha na makaburi ya kutosha.
Ni heri vita vya kudai haki kuliko amani inayopumbaza nakudhalilisha utu
wa mwanadamu.
Kifo ni haki ya kila mmoja wetu, nitamchukia sana mtu atakayeniambia
nitaishi milele.
Dr dhaifu asifikiri hii nchi ni yake na familia yake hata atake
rasilimali zetu ziende nyumbani kwake Bagamoyo.
Nitajitoa mhanga kupigana kufa au kupona kwa ajili ya vizazi vijavyo
wakiwemo watoto wangu.
Asituletee usharobaro katika mambo ya msingi kama haya.
Watu tumeshajichokea anatuletea ubishoo!!!!!
kwa sababu sio wa kaskazini?
We ni mwanamapinduzi unavyoonyesha, kumbe mkuu jk anataka kila kitu kijengwe bagamoyo?Khabari njema hii!
Sasa mwambieni Dr Dhaifu, aandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha, polisi wa kutosha, jwtz wa kutosha na makaburi ya kutosha.
Ni heri vita vya kudai haki kuliko amani inayopumbaza nakudhalilisha utu wa mwanadamu.
Kifo ni haki ya kila mmoja wetu, nitamchukia sana mtu atakayeniambia nitaishi milele.
Dr dhaifu asifikiri hii nchi ni yake na familia yake hata atake rasilimali zetu ziende nyumbani kwake Bagamoyo.
Nitajitoa mhanga kupigana kufa au kupona kwa ajili ya vizazi vijavyo wakiwemo watoto wangu.
Asituletee usharobaro katika mambo ya msingi kama haya.
Watu tumeshajichokea anatuletea ubishoo!!!!!