PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

Mitambo ya gas ili kuzalisha umeme, ijegwe Mtwara then umeme usafirishwe nchi nzima mpaka huku kwetu ushoto. Bagamoyo BIG NO.
 
Licha ya Mvua kuendelea kunyesha lakini watu bado waliendelea kujazana...Hii inatia hamasa sana!! Na tamko lao ambalo wamesema ni la Waislamu halijatoka nje ya madai ya wana Mtwara,kwamba gesi isitoke...na Kauli Mbiu yao ni Gesi Kwanza Uhai Baadae!!
Hii kauli ya GESI KWANZA UHAI BAADAE,ndiyo haswaaa!!!!!!tuliyokua tunaisubiria,inaonyesha ni kiasi gani watu wamechoka KUNYANYASWA,KUTISHIWA KUDHALILISHWA,na hata KUONEWA,,!! Heko WAISLAMU kwa kuamua KUFUNGUKA,,,,!kwa hapo tupo pamoja,na Hakika Mungu pia yupo nanyi.HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI,KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUZALILISHA UTU WA "MTANZANIA" (MWANADAMU)
BY GODBLESS LEMMA.
 
Hahahaaaa! I salute you ndugu Jakaya!! Sterrling hafi mpaka mwisho wa movie! Tangu aokoe "Penalt" ya Madaktari iliyopigwa na Dkt Ulimboka naamini jamaa ni Tanzania one! Subirini muone Bomba la Gesi litakuja Dar es Salaam! Mziki ulowashinda wachagga watauweza wamakonde?? Hivi sasa anasoma mchezo tu!!
 
Mtwara gesi isitoke...na Kauli Mbiu ni Gesi Kwanza Uhai Baadae!!

Khabari njema hii!
Sasa mwambieni Dr Dhaifu, aandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha, polisi wa kutosha, jwtz wa kutosha na makaburi ya kutosha.

Ni heri vita vya kudai haki kuliko amani inayopumbaza nakudhalilisha utu wa mwanadamu.

Kifo ni haki ya kila mmoja wetu, nitamchukia sana mtu atakayeniambia nitaishi milele.

Dr dhaifu asifikiri hii nchi ni yake na familia yake hata atake rasilimali zetu ziende nyumbani kwake Bagamoyo.

Nitajitoa mhanga kupigana kufa au kupona kwa ajili ya vizazi vijavyo wakiwemo watoto wangu.

Asituletee usharobaro katika mambo ya msingi kama haya.
Watu tumeshajichokea anatuletea ubishoo!!!!!
 
hakuna kitu kibaya kama kuwa muoga! Unaweza kunyimwa hata unyumba!

Haka nako kapoint.. Mhhhh????? ukiomba mzigo wife anakwambia ukinizingua ntampa baba hemed, nawe kwa woga unachili tuuu
 
hakuna udini,hakuna uvyama,hakuna ukabila ,rasilimali itumike kwa usawa nchi nzima matunda yakianzia ilipogunduliwa.watawala punguzeni usomi katika kutawala toeni maamuzi ya kuona,kunusa,kugusa,kusikia na kulamba.
 
ingependeza kama heading ingekuwa picha ya wanamtwara na sii

"Umati Mkutano wa Waislamu Mtwara"
 
Magamba wanadai wanatafuta umaarufu wa kisiasa. Bado hawajasoma kuhusu writings on the wall. Shame upon them
Update ya hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-la-waislamu-wananchi-kuhusu-gas-mtwara.html





nzozmp.jpg
2emfxih.jpg
11a8txt.jpg
301hi82.jpg
ru7j87.jpg
68vwhl.jpg
 
Back
Top Bottom