Kauli za kihaini
Ukombozi unahitaji kutumia njia zozote zilizopo!Eeee! hili swala nalo limeshapewa taswira ya kidini tena? tuendakooooooo!
Kauli za kihaini
Mpaka kieleweke!!
Sultani Mangungo wa Bagamoyo amesema hajui hawa jamaa wanataka nini!!
udini hakuna mtwara/lindi leo waisilam na j'pili wakristo then j tatu wapo pamoja hii itakuwa vita ya bunduki vs zana za jadi na bila kusita zana za jadi zitashinda na kuandika historia mpyaMti uliopandwa na WanaCCM wa Udini umemea na unatoa matunda haya. Wazee wa Jihad ndo kwanza wameanza.
Mkianza kujigawa kimakundi hamtafika popote...wekeni udini pembeni!
Wanamtwara msirudi nyuma!
Yani msikubali wakwere wachukue gas yenu!
Mkianza kujigawa kimakundi hamtafika popote...wekeni udini pembeni!
hatari ninayo ihisi
baada ya hapo wataunda Jeshi la Kiislamu la Kusini mwa Tanzania
Kauli za kihaini