PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

update ya hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-la-waislamu-wananchi-kuhusu-gas-mtwara.html





nzozmp.jpg
2emfxih.jpg
11a8txt.jpg
301hi82.jpg
ru7j87.jpg
68vwhl.jpg

baniani mbaya kiyatu chake dawa!
 
Wana Mtwara wakianza kuingiza 'uswalaswalaa' katika gesi wataharibu kila kitu. Gesi na dini wapi na wapi? Wengine wana nia zingine!!
 
Tunakushukuru ee Mungu kwa kutuunganisha watu wako na kutufanya tutambue haki zetu pasipo woga wa aina yoyote.
 
Tuchukue hatua moja nyuma na kujiuliza mambo machache. Kwanza; hili suala la gesi,tuseme inabaki Mtwara je Mtwara watafanya nini nayo? Lazima kuwe na mpango maalumu wa kutumia gesi, kama kuzalisha umeme kwaa jili ya kusambaza nchini na matumizi ya viwanda. Kitukingine ni kuandaa watu wenye ujuzi kwaajili ya matumizi ya nishati hiyo pamoja na watao fanya kazi katika nyanja mbali mbali zitakazo tokana na kuwepo kwa uzalishaji huo(Human capital) Kwahiyo kuna vitu vingi ambavyo inabidi viwepo kwaajili ya mafanikio ya mpango mzima. Hayo ni machache ngoja niyaweke vizuri halafu nitayaleta hapa.
 
Hilo nawaunga mkono, maana ni suala la kimaendeleo. Lakini waache kung'ang'ania kuchinja kitoweo cha kwa jirani wakati anakula yeye na wanae hiyo ni akili ya panzi.
 
Kaka kwani ruzuku za chama zilizojenga hilo unalosemea ni kodi za wananchi, au hujui hilo?

Hiyo ilikuwa sigara kali ndugu yangu na hutofahamu mpaka uijuwe sigara kali.
Hilo la kodi naweza kusema kuwa ni kielelezo kamili cha msemo wangu!
 
Back
Top Bottom