PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Jan 18, 2013.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,555
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
 2. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2013
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,245
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mpaka kieleweke!!

  Sultani Mangungo wa Bagamoyo amesema hajui hawa jamaa wanataka nini!!
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,555
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Licha ya Mvua kuendelea kunyesha lakini watu bado waliendelea kujazana...Hii inatia hamasa sana!! Na tamko lao ambalo wamesema ni la Waislamu halijatoka nje ya madai ya wana Mtwara,kwamba gesi isitoke...na Kauli Mbiu yao ni Gesi Kwanza Uhai Baadae!!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,555
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Sijawahi kumsikia huyu ila sishangai kwani Bagamoyo ndio hitpoint ya hii gas
   
 5. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2013
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunafunguka taratibu.asante mungu
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 32,869
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 113
  Wanamtwara kazeni buti mpaka kieleweke!
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,327
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Nyie tumikeni kama hamjamwangosiwa hapo
   
 8. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kauli za kihaini
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,074
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 48
  Serikali inakazi safari jambo hili kama waislamu wameingiza mkono wao; hapo patachimbika na niwajuavyo mtwara wengi ni wale msimamo mkali SUNNI!
   
 10. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watakipata
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 6,880
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Uvumilivu sasa basi! Subiri
   
 12. M

  Mawazomgando Senior Member

  #12
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 17, 2013
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuuuuuuhh hadi Dini zinaanza kuingihingilia Jk anapumulia mashine sasa
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2013
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,384
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  LAZMA JK APATE :majani7: NDIYO AKILI IKAE SAWA! WATU WAMECHOKA KUCHEZEWA MASABURI BILA HIYARI!
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2013
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,384
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  hakuna kitu kibaya kama kuwa muoga! Unaweza kunyimwa hata unyumba!
   
 15. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2013
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah, huu mziki huu, haki ya nani serikali ya Kikwete imeshikwa pabaya!
   
 16. A

  August JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2013
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,415
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  nawaunga mkono viongozi hawa wadini, na ningependa kuwasikia na wengine wakiwatetea watu wa Lindi na Mtwara. Nimategemeo yangu Mama kwenye shuka kwa shuka atamkumbushia Kiongozi wetu wajibu wake kwa watanzania wote bila upendeleo wa Dsm au Bwagamoyo, roho yangu imekudondokea
   
 17. C

  CHRISTURKER JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2013
  Joined: Nov 24, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eeee! hili swala nalo limeshapewa taswira ya kidini tena? tuendakooooooo!
   
 18. N

  Njee JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watani zangu KOMAENI kisitoke kitu hapo mpk mjengo wa kuchakachua gesi ujengwe hapo mtr mkilema kizazi chenu kitayapiga viboko makaburi yenu kila asb ndo waende kutafuta riski.(Rejeeni stori hii ya JK alipoipoizungumzia kuhusu elimu akasema Nachingwea ilitokea) MNAKUMBUKA?
   
 19. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unyumba siombi natumia. na gesi lazima tuisafirishe Tanzania nzima
   
 20. Doppelganger

  Doppelganger JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 1,542
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkianza kujigawa kimakundi hamtafika popote...wekeni udini pembeni!
   
 21. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #21
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 21,366
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 48
  Kikwete Upoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, watu hawataki blah blah z a CCM, waambieni watanufaikaje na gesi ya mtwara siyo sizo porojo...
   
 22. M

  Msambaa mkweli JF-Expert Member

  #22
  Jan 18, 2013
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mitambo ya gas ili kuzalisha umeme, ijegwe Mtwara then umeme usafirishwe nchi nzima mpaka huku kwetu ushoto. Bagamoyo BIG NO.
   
 23. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #23
  Jan 18, 2013
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,245
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Sultani Mangungo ni huyohuyo wa Bagamoyo, anauza kwa wenzake anapeleka bagamoyo halafu anajitia mjanjaaa!!
   
 24. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #24
  Jan 18, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,459
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 48
  Ha ha haaaa! cacico banaaa! Ila ni kweli shosti, natamani na huko kwenye madini nao waamke sasa, kulala inatosha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 25. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #25
  Jan 18, 2013
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kauli ya GESI KWANZA UHAI BAADAE,ndiyo haswaaa!!!!!!tuliyokua tunaisubiria,inaonyesha ni kiasi gani watu wamechoka KUNYANYASWA,KUTISHIWA KUDHALILISHWA,na hata KUONEWA,,!! Heko WAISLAMU kwa kuamua KUFUNGUKA,,,,!kwa hapo tupo pamoja,na Hakika Mungu pia yupo nanyi.HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI,KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUZALILISHA UTU WA "MTANZANIA" (MWANADAMU)
  BY GODBLESS LEMMA.
   
 26. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #26
  Jan 18, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,290
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 48
  Hii ni kauli ya kidikteta
   
 27. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #27
  Jan 18, 2013
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,245
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 28. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #28
  Jan 18, 2013
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaa! I salute you ndugu Jakaya!! Sterrling hafi mpaka mwisho wa movie! Tangu aokoe "Penalt" ya Madaktari iliyopigwa na Dkt Ulimboka naamini jamaa ni Tanzania one! Subirini muone Bomba la Gesi litakuja Dar es Salaam! Mziki ulowashinda wachagga watauweza wamakonde?? Hivi sasa anasoma mchezo tu!!
   
 29. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #29
  Jan 18, 2013
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Mti uliopandwa na WanaCCM wa Udini umemea na unatoa matunda haya. Wazee wa Jihad ndo kwanza wameanza.
   
 30. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #30
  Jan 18, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,479
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khabari njema hii!
  Sasa mwambieni Dr Dhaifu, aandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha, polisi wa kutosha, jwtz wa kutosha na makaburi ya kutosha.

  Ni heri vita vya kudai haki kuliko amani inayopumbaza nakudhalilisha utu wa mwanadamu.

  Kifo ni haki ya kila mmoja wetu, nitamchukia sana mtu atakayeniambia nitaishi milele.

  Dr dhaifu asifikiri hii nchi ni yake na familia yake hata atake rasilimali zetu ziende nyumbani kwake Bagamoyo.

  Nitajitoa mhanga kupigana kufa au kupona kwa ajili ya vizazi vijavyo wakiwemo watoto wangu.

  Asituletee usharobaro katika mambo ya msingi kama haya.
  Watu tumeshajichokea anatuletea ubishoo!!!!!
   

Share This Page