Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,475
- 25,646
Naomba tu kuuliza! hivi magamba wachangia kila uzi wapo leo?! Ritz CHAMVIGA, faizafox chriss lukosi Simiyu Yetu and CO wapo kweli?!!
Wamechanganyikiwa na kuvurugwa kila kona....
Hapana fanya mchezo na Opereshen Pamoja-Daima...........
Hakuna msamaha hapa, hakuna panya atakaye salia.....Wasaliti wakae mbali na huu moto.....
Last edited by a moderator: