PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.
Chadema is a Blaizing Fire.....So never dare to add petrol to the already blaized fire coz explosion will occur.......

Wasaliti stay away from the Holy Party CDM because the blaizing fire will burn to you to death....
 
sr Magdalena njoo huku uone chadema ilivyokosa mvuto !
attachment.php

attachment.php

attachment.php
attachment.php
 
kwa chadema pro KENGEZA, this is their home ground. atakayebisha shauri yake.
but you know why!:! huu ni mji wa pili kwa kuwa na idadi kubwa ya WAVUTA BANGI(according to official statistics). binafdi sioni ajabu
 
ha ha ha ha ha! i love it! it's glossy! where are MSALANI, ifweero, Ritz, CHAMVIGA and coy?
attachment.php

attachment.php

attachment.php
attachment.php
[/QUOTE]
 
kwa chadema pro KENGEZA, this is their home ground. atakayebisha shauri yake.
but you know why!:! huu ni mji wa pili kwa kuwa na idadi kubwa ya WAVUTA BANGI(according to official statistics). binafdi sioni ajabu

Ha ha ha ha ha!!!!!!!

Subiri moto wa Mwanza, Shinyanga, Iringa , Tabora na kwengineko........

Shwain Kabisa...
 
kwa chadema pro KENGEZA, this is their home ground. atakayebisha shauri yake.
but you know why!:! huu ni mji wa pili kwa kuwa na idadi kubwa ya WAVUTA BANGI(according to official statistics). binafdi sioni ajabu

Kwa bangi, au bila bangi, Rest in Hell (RIH) CCM!
 
kwa chadema pro KENGEZA, this is their home ground. atakayebisha shauri yake.
but you know why!:! huu ni mji wa pili kwa kuwa na idadi kubwa ya WAVUTA BANGI(according to official statistics). binafdi sioni ajabu

na wewe ni mvuta nini? au umejisahau?
 
Picha za ITV zimeonyesha mh Dr Slaa anahutubia watoto wengi kuliko watu wazima! Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajashuhudia kwa macho jinsi helkopta inavyotu na kupaa, pale watoto wenyewe walikuwa wanamwangalia kama vile amalize upesi ili watoto waone jinsi inavyoruka tena! Pole Dr ndio siasa hizo.
 
Sifaham kama mzaha na utovu wa nidham kiasi hiki moderators wanauruhusu na kushusha hadhi ya JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom