PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.
wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.

Hapo kwenye red kwa leo tuseme It's not fai
 
Mtakufa nyinyi mzalendo Zitto atabaki tukajua wanazungumzia daftari kumbe bado wanapambana na jeshi la mto mmoja!

Usipotoshe, kupambana na Zitto ni sawa na kupambana na CCM waliomtuma. Zitto sio jeshi la mtu mmoja bali ni CCM+Zitto. Unakumbuka nani alikuwa akiriporti, kuandaa na kuhudumia mikutano ya waandishi wa habari aliyoitisha Zitto? Au unafikiri hatukuona?

Tiba
 
attachment.php
 
mhhuuuu!!!!!!
Sijapenda kabisa...

kwani OPD ni kwa ajili ya Zitto.?
 
Mzee umri wake kwa sasa ni zaidi mara tano ya umri wa ccm mpaka anachekesha akiwa jukwaani alivyochoka kisiasa.

Kawadanganye mawakala wenzako wa magamba na mizigo! Tarehe za kuzaliwa: Lowassa (26 Agosti 1953); Kikwete (7 Oktoba 1950); Slaa (29 Oktoba 1948). Moto wa Operesheni Pamoja Daima umekuwa mkali mnooo! Umekuunguza wewe na mawakala wenzako wote wa magamba na mizigo, mpaka mnaweweseka na kulia vilio vya kenge! NA BADO! Ndiyo kwanza kazi imeanza! Makamanda wa chopa tatu, chochea moto, chochea motooooooo!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom