wacha wawafunze adabu hawa wapuuzi kabisa...Sheikh Mponda ndio nani kwani yeye ndio anawafanya wanakula au wanalala? Enzi za Mwarimuuuuuuuuuuu hii ingekuwa hadithi nyingine. Peleka porini wakalime mashamba watatia adabu
Waandamanaji walijaribu kuenda maeneo wawili wawili hivyo ni bora kufanya OPERESHENI MAALUM kama hii ikijumuisha MILITARY POLICE (JWTZ), FFU, ASKARI POLISI, ASKARI KANZU, MGAMBO WA JIJI na USALAMA WA TAIFA.
Si dhani tena kutakuwa na mpango wa watu kuandamana wawili wawili kama vile wanapita nazao na hatimaye kuzuka ghafla KIDONGO CHEKUNDU, IKULU n.k
Ila mkakati endelevu-wa-ulinzi na usalama unatakiwa kupangwa na serikali ili maisha ya watu wasio na vurugu kuendelea kama kawaida iwe kwenda shuleni, biashara, kazini , kuabudu n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.