PICHA: MGAMBO Kazini KUZUIA VURUGU za DAR... Lakini KARIAKOO KIMYA na PATUPU... SHUHUDIA

mi nimeipenda hiyo ya mgambo wa kike anaemdaka mshkaji baada ya kulimwa mtama.

Ila huyo anaechezea buti za mbavu na huyo njema alieshika bastola (nafikiri atakuwa askar kanzu) lazima zitakuwa zimevunjika.
 
mi nimeipenda hiyo ya mgambo wa kike anaemdaka mshkaji baada ya kulimwa mtama.

Ila huyo anaechezea buti za mbavu na huyo njema alieshika bastola (nafikiri atakuwa askar kanzu) lazima zitakuwa zimevunjika.

Lakini KAZI wanazofanya WANALIPWA? Wanahitaji MAGWANDA MAPYA!!!
 
545468_429375330431692_341698810_n.jpg
 
to be honest Askari mgambo na askari kanzu wanastahili pongezi kazi wameifanya nzuri mno.Kumbe dawa ya hawa wavaa vipedo ni Mgambo .
 
wacha wawafunze adabu hawa wapuuzi kabisa...Sheikh Mponda ndio nani kwani yeye ndio anawafanya wanakula au wanalala? Enzi za Mwarimuuuuuuuuuuu hii ingekuwa hadithi nyingine. Peleka porini wakalime mashamba watatia adabu
 
Waandamanaji walijaribu kuenda maeneo wawili wawili hivyo ni bora kufanya OPERESHENI MAALUM kama hii ikijumuisha MILITARY POLICE (JWTZ), FFU, ASKARI POLISI, ASKARI KANZU, MGAMBO WA JIJI na USALAMA WA TAIFA.

Si dhani tena kutakuwa na mpango wa watu kuandamana wawili wawili kama vile wanapita nazao na hatimaye kuzuka ghafla KIDONGO CHEKUNDU, IKULU n.k

Ila mkakati endelevu-wa-ulinzi na usalama unatakiwa kupangwa na serikali ili maisha ya watu wasio na vurugu kuendelea kama kawaida iwe kwenda shuleni, biashara, kazini , kuabudu n.k
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom