PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

Hapana, SUGU pia AMEFANYA KOSA hayo MAGWANDA ni ya BINAFSI hayakutolewa na SERIKALI YA JAMHURI ya TANZANIA; HILO NI KOSA PIA... na NAONA MAPOLISI wanamwangalia SUGU BILA kufanya CHOCHOTE

10.jpg

Msanii Rick Ross wa nchini Marekani ilimlazimu kuwakubali Watanzania kwa kukiri kwa maneno na kitendo cha kupiga saluti, kwani licha ya wapenzi wa burudani kuimba naye, msanii huyo alikutana na mapokezi na heshima ya hali ya juu ndani ya Tamasha kubwa la Burudani la Serengeti Fiesta 2012 viwanja vya Lidaz Club jijini Dar.
 
Umeona MTU YOYOTE wa CCM hata kama ana kosa la kutishia KUUA na MABASTOLA bado MAPOLISI na MAHAKAMA Hawaoni ni KOSA wanakimbia MAJUMBANI MWAO...

Hakuna tena RULE OF LAW; Sasa ETI unasema kamshitaki UMEONA hakuna tatizo hapo HATA KIDOGO Lakini in REAL DEMOCRACY kila mtu anapaswa kujua what's right and wrong; hata kama UNAMPENDA huyo Mwanasiasa Kama Kahujumu UCHUMI au KAIBA kila mtu anapaswa asimame na HIYO SHERIA

Kama hivi HATUTA FIKA; Wachache WAPI Wengi Wazike...

Rule of law unaijua au unaisikia wewe? So far hujatoa ushahidi kwamba Masha kapiga saluti, umeonyesha picha kwamba Sugu kapiga saluti. Mpeleke basi Sugu mbele ya sheria tuone unajali kweli.

Una risk kumfanya Masha aonekane victim hapa, numskull.
 
Umeona MTU YOYOTE wa CCM hata kama ana kosa la kutishia KUUA na MABASTOLA bado MAPOLISI na MAHAKAMA Hawaoni ni KOSA wanakimbia MAJUMBANI MWAO...

Hakuna tena RULE OF LAW; Sasa ETI unasema kamshitaki UMEONA hakuna tatizo hapo HATA KIDOGO Lakini in REAL DEMOCRACY kila mtu anapaswa kujua what's right and wrong; hata kama UNAMPENDA huyo Mwanasiasa Kama Kahujumu UCHUMI au KAIBA kila mtu anapaswa asimame na HIYO SHERIA

Kama hivi HATUTA FIKA; Wachache WAPI Wengi Wazike...

mkuu umeboa, kubali yaishe
 
Usilazimishe mtu afanye utakavyo.... Axha upuuzi wewe

Mbona Mimi nimepiga salute na si mwanajeshi

Tumeishiwa hoja sasa tunajilengesha kwa wanaume

Utajiju mie siwezi kumpigia salute mzinzi hata siku moja,kafa kwa ajili ya mwanamke ambaye sio mkewe so what??Wakati mke wa ukweli yuko home wakati ule amejikunyata usiku mzima mzee yuko na changu nje,ama kweli Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Naona kwa hii picha kuna mzee wa kikofia koti rangi nyeusi na kanzu white anachukua picha nae pale,inaelekea ni jamaa kutoka Mbagala kama sikosei kule walikochoma makanisa
 
Utajiju mie siwezi kumpigia salute mzinzi hata siku moja,kafa kwa ajili ya mwanamke ambaye sio mkewe so what??Wakati mke wa ukweli yuko home wakati ule amejikunyata usiku mzima mzee yuko na changu nje,ama kweli Mshahara wa dhambi ni mauti

Si lazima wote wawaze na kutenda kama wewe, naona tumeamua kuwa minungu watu

Lawrence knew what he was doing and their relationship be professional or personal is none of our business

Tunalalama tunakwenda pabaya wakati sis wenyewe ndio chanzo, tuko bize na mambo ya kijinga kabisa na kuacha mambo ya msingi

BTW, nani kaomba opinion yako kama ungepiga saluti au la?? nyie ndio zilezile mabingwa wa "over my dead body" usiku kucha mnakula maneno mnayoyatoa mchana
 
Hivi vimtu holier than thou vi-burlesk tu.

Yaani no hometraining at all, watu wana lack hata common decorum. Halafu kila kitu kinaangaliwa kwa a very myopic simplistic partisan view.
 
Hivi vimtu holier than thou vi-burlesk tu.

Yaani no hometraining at all, watu wana lack hata common decorum. Halafu kila kitu kinaangaliwa kwa a very myopic simplistic partisan view.
Mkuu, kuna watu naona wameamua kwenda overboard ili tu ku-demean others for no reason at all

Unakuta mtu anachapa kandya ndefu wakati he/she is not half the person anayemkandya

Nngu007 kanisikisha pia kuleta krap kama hii sredi, i rated him very highly kwakweli.... I hope he regrets his decision
 
Kwa nini? Na raia pia haruhusiwi kumpigia salute raia mwenzake?

Ndio Maana Mikona ipo ya kushikana na kusalimiana; Umeona wapi hapa DUNIANI raia akimpigia SALUTE raia MWEZAKE? Have U ever see that or found someone on the street doing that? It is a rule of LAW and only happens to the people who protect us the civilians -who have a right to SALUTE by LAW all over the WORLD...

So, kwanini tunataka kufanyia baadhi ya raia kuwapa a loopholes na kuwa above the law au tumeshindwa -- tunawapenda baadhi ya wanasiasa wetu kiasi cha kuruhusu chochote wanachofanya ni kwa niaba ya taifa letu hata kama wanabeba MALI YA NCHI na kupeleka USWIS; it is OK as LONG as is so called LAU MASHA we believe in him...

Mwanadamu ni mtu wa ajabu sana; bila limitations by law he/she will run you over...

We have to be very careful for the love and trust we give to our POLITICIANS; it will go over their narrow minded BRAINS and they will end up being a DICTATOR...
Kwahiyo tusiende kwa LOVE OF THEM; JUST for the LOVE of their POLICIES na sio zote tutazipenda kwahiyo DEMOCRATICALLY kuondoa UDICTATOR lazima kuna HOJA tutapingana nae; wakati wa NDIO BABA UMEPITWA na WAKATI
 
Ndio Maana Mikona ipo ya kushikana na kusalimiana;
Umeona wapi hapa DUNIANI raia akimpigia SALUTE raia MWEZAKE? Have U ever see that or found someone on the street doing that? It is a rule of LAW and only happens to the people who protect us the civilians -who have a right to SALUTE by LAW all over the WORLD...

Hawa vipi? Siyo raia?

IMG_5987.JPG

7+Nape+na+viongozi+waliompokea+wakiwasili+kwenye+kambi+ya+Baraza+la+Vijana+wilaya+ya+Missenyi.jpg

JWTZ+002.JPG

Hapa+akitoa+saluti+kwa+rubani+wake+baada++ya+kutua..jpg

Akitoa+saluti+kabla+ya+kupasua+anga..jpg

saluti.JPG
 
How nice Kama LAU MASHA ni CHIPUKIZI wa CCM kama ninamuona hapo JUU PRINCE sina tatizo hata kidogo...

Saluti ya CHIPUKIZI; Lakini Wanaila serikali ya Tanzania vizuri haswa..
.
 
How nice Kama LAU MASHA ni CHIPUKIZI wa CCM kama ninamuona hapo JUU PRINCE sina tatizo hata kidogo...

Saluti ya CHIPUKIZI; Lakini Wanaila serikali ya Tanzania vizuri haswa..
.

Kumbe Chipukizi siyo raia? Huyu je?

Hapa+akitoa+saluti+kwa+rubani+wake+baada++ya+kutua..jpg

Na huyu chipukizi?

saluti.JPG
 
How nice Kama LAU MASHA ni CHIPUKIZI wa CCM kama ninamuona hapo JUU PRINCE sina tatizo hata kidogo...

Saluti ya CHIPUKIZI; Lakini Wanaila serikali ya Tanzania vizuri haswa..
.
Unachemka mazima

why are hating so much dude??

Yani unahangaika weee, na kila kona watu wanakutekenya tu

yak'
 
Nadhani nungu007 ungeanzia kwenye wikipedia ujue maana ya neno salute, baada ya hapo pitia dikshenari then unapotaka wewe... these days guugo helps solving simple arguments

Hakuna sehemu iliyokataza watu kupiga saluti, the only thing some soldiers find kwenye civian salute ni ile kuona kwamba civilian cant do it like they do, but it is not prohibited anywhere
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Nafikiri hapo ndipo penye tatizo. Watu wakisikia neno salute wanajua ni ishara moja tuu. Hata ile kuinama ni salute pia. Lakini yeye anadai kwani tumepewa mikoni ya nini mpaka tupige salute? Kwa hiyo Lau angemshika mkono marehemu? Hata hiyo salute si katumia mkono?
 
Unachemka mazima

why are hating so much dude??

Yani unahangaika weee, na kila kona watu wanakutekenya tu

yak'

Naoma Matatizo ya baadhi ya WANANCHI; Tulikuwa tunabadilishana habari na Mwana Jamii ambaye aliweka picha na kuniuliza swali kuhusu hiyo PICHA; Sikutarajia kuwa wewe utarukia MWISHO wa HABARI badala ya kuangalia ilipoanzia Ndipo waliposema kuwa USIMWAMSHE ALIYELALA... UKIMWAMSHA UTALALA WEWE... HUMAN BRAIN is one of very delicate object... it need care; awareness and ultimate vibrations....
 
Sorry kama sikukuelewa, lakini nina imani kabisa kwamba siko peke yangu ninayeamini ninachoamini kuhusu msimamo wako kwenye salute ya Laurence....

Just follow the whole story, see where you leaned towards niaminicho

thanks and Goodbye
 
Back
Top Bottom