PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

Ukipanda Dhulumu na wewe Mungu anakuondoa kwa Dhuluma!! Matukio mengi ya Udhalimu yametokea Mwanza!! Na huyu Kamanda akawa anayafanyia Mzaha na Kebehi!! Watu wamekoswa koswa kuuwawa!! Watu wamepingwa na kila aina ya dhuluma yeye aliona Sawa (Lakini ajue alikuwa na dhamana ya Kuyazuia na kukemea)!! Sasa Mkuki kwa Binadamu!!!!! "Mungu amrehemu na Kumpa Pumziko la milele yeye aliyetangulia; Pamoja na wengine waliotangulia kwa Dhuluma ya Maisha Yao!!
 
Haya ni matatizo ya raia, utapigaje saluti wakati huna gwanda ulitakiwa kunyooka kama thamaki nkavu.
 

Ndio wanatambua Sana; na WENGI Hawajui ISHARA ya MSALABA hata KIDOGO

As you know in US the highest percentage of christians are Protestants and not Catholics

Catholics are minority; Ndio Maana Rais Mkatoliki pekee wa US ni John F Kennedy na Sijui kama watapata Mkatoliki Mwingine... In Short Protestants in US are not that much fond of Catholics...

I don't agree with you. Before JFK they said a Catholic will never rule America. Before Obama they said a black will never rule America. The world is still very very young. Anyhting is possible.
 
Salute ni display respect na salute zipo za aina nyingi kuna Military Salute, Funny Salute, Animetion Salute.
 
huyu bwana uwa siamini aling'olewa ubunge-mwanza:lol::lol:
 
7.jpg


Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

Msimuonee bana.........anapiga alama ya msalaba
 
7.jpg


Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

Sidhani kama salute ina tatizo sana kwa sababu kwa upande mwingine ina maana ya salaam tu na heshima.
 
mada zingine mnaleta hazina mashiko, kama anapiga saluti ama alama ya msalaba inafaida gani kujadili?!.
 
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi, tena hujaa taabu na .......... " R.I.P bro.
 
ivi heshima za mwisho kwa alouwawa akiwa kichakani na dadake? Alijificha na dadake kweli? Acheni izo uyu acp kauwawa akiwa ktk harakat za kumsindikiza hawalake, akiwa ktk tendo la uasherati, haina tofauti na alokufa akiwa kifuani kwa hawala akibemenda, jamani toeni uo msalaba kuudhalilisha

acha kuhukumu mwenye mamlaka ya kuhukumu ni mungu mwenyewe
 
... ndio Maana nimeweka JAMII FORUMS kupata Msaada...

...

Kumbe umeleta ili upewe msaada, sasa unachowabishia watu wanakupa msaada nini? Nadhani umeileta ukitegemea raia watapiga madongo kumbe sio..Watu wanamaliza shule hawajui kusoma na kuandika, sishangai pamoja na wewe kupitia JKT haukujua hata kupiga hiyo salute.
 
7.jpg


Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.
alikuwa anaweka ishara ya msalaba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom