PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

IVI HESHIMA ZA MWISHO KWA ALOUWAWA AKIWA KICHAKANI NA DADAKE? ALIJIFICHA NA DADAKE KWELI? ACHENI IZO UYU ACP KAUWAWA AKIWA KTK HARAKAT ZA KUMSINDIKIZA HAWALAKE, AKIWA KTK TENDO LA UASHERATI, HAINA TOFAUTI NA ALOKUFA AKIWA KIFUANI KWA HAWALA AKIBEMENDA, JAMANI TOENI UO MSALABA KUUDHALILISHa

Umenichekesha sana. Unasema walikuwa wapi? Kichakani na dada yake! Punguza jazba mkuu
 
Naona unanipa salute kiana. Wewe at least ni Chipukizi? Maana tumeambiwa hapa raia haruhusiwi kumpigia salute raia mwenzake.

Kiranga katuambia tukitaka kuwa critics tujiandae kwa kila neno moja tutakaloandika, tuwe tumeshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja tutakalosema, tuwe tumeshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo.

Naamini neno/maneno include(s) picha pia. Bado natafuta picha za raia wanaopiga salute mpaka zifike
mia. lol



Ngoja aje figganiga mtamueleza nani kawaruhusu kutumia hii trademark yake ya MIA.
 
nimeshangazwa na ustaadhi au shekhe anapiga picha
jeneza na mwili wa marehemu wakati dini hairuhusu kuona marehemu
au kwa vile sio wa dini yetu?
 
Kwani uongo kuwa Kikwete alikosea kushika mwenge, au nawe unaamua kutetea tu hata pasipoteteeka?
Au ulitaka asisemwe kwa hilo, kisa tutaonekana "cry wolves!"
Hoja pale ilikuwa ni taratibu kukiukwa, km taratibu ndogo km ile kaikiuka hadharani, ni taratibu ngapi kubwa anazikiuka sirini?

Hata apartheid rule ya South Africa ilikuwa taratibu, lakini ilipingwa kwa sababu ilikuwa ni taratibu ya kibaguzi.

Hakuna tofauti kati ya apartheid na hii habari ya kusema mwenge ushikwe kwa mkono huu.

Habari moja ni ubaguzi wa rangi, nyingine ni ubaguzi wa mkono.

Ukienda jshini katika nchi isiyojali kwamba kuna watu wengine wanatumia mkono wa kushoto zaidi ndo utaelewa hili.

The very idea kwamba mwenge unatakiwa kushikwa kwa mkono huu ukiwa juu is stupid because it presupposes that everyone uses a certain hand as the stronger one, which is hardly the case.
 
Sorry kama sikukuelewa, lakini nina imani kabisa kwamba siko peke yangu ninayeamini ninachoamini kuhusu msimamo wako kwenye salute ya Laurence....

Just follow the whole story, see where you leaned towards niaminicho

thanks and Goodbye

Well, What I have learned is that we really don't give a damn on Our Democracy and Rule of Law; we just a sucker punch... We still love the HOLLYWOOD Shows dreaming that One Day we will be just like them... In fact those we admire 2 death are the ones who are skin dipping us while we are smiling to them they are cleaning us out of whatever richness our forefathers left 4 the so called the suffering Mass of Tanganyika and Zanzibar!!!

CIAO...
 
Sorry kama sikukuelewa, lakini nina imani kabisa kwamba siko peke yangu ninayeamini ninachoamini kuhusu msimamo wako kwenye salute ya Laurence....

Just follow the whole story, see where you leaned towards niaminicho

thanks and Goodbye

Well, What I have learned is that we really don't give a damn on Our Democracy and Rule of Law; we just a sucker punch... We still love the HOLLYWOOD Shows dreaming that One Day we will be just like them... In fact those we admire 2 death are the ones who are skin dipping us while we are smiling to them they are cleaning us out of whatever richness our forefathers left 4 the so called the suffering Mass of Tanganyika and Zanzibar!!!

Ciao...
 
I don't agree with you. Before JFK they said a Catholic will never rule America. Before Obama they said a black will never rule America. The world is still very very young. Anyhting is possible.

Oh, Yeah... I believe in the silver linin' in the SKY; General Talk
 
Kumbe umeleta ili upewe msaada, sasa unachowabishia watu wanakupa msaada nini? Nadhani umeileta ukitegemea raia watapiga madongo kumbe sio..Watu wanamaliza shule hawajui kusoma na kuandika, sishangai pamoja na wewe kupitia JKT haukujua hata kupiga hiyo salute.

Ni kwanini UMEGUSHI MAANDISHI yangu? Habari kamili ilikuwa na issue ya SHERIA wewe UMECHAGUA cha kuongelea na kugushi Maandishi yangu; it is a CRIME...
 
7.jpg


Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.
Kama ni ulinzi shirikishi, na kama ni dhana ya polisi jamii Mh. Liberatus L. Burlow alifanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kwa kuwa na mimi nilikuwa huko ngoja tujikumbushe yaliyojiri wakati msafara ukikaribia na wakati ulipoingia uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza:
 

Attachments

  • Liberatus L. Barlow's last respect.avi
    7.2 MB · Views: 19
Hapana, SUGU pia AMEFANYA KOSA hayo MAGWANDA ni ya BINAFSI hayakutolewa na SERIKALI YA JAMHURI ya TANZANIA; HILO NI KOSA PIA... na NAONA MAPOLISI wanamwangalia SUGU BILA kufanya CHOCHOTE

Sugu anasalute huku akiwa ameshika nyeti zake hakika swala la salute kwa raia hanasifa za kufanya hivyo kwa utalatibu wa salute
 
Nadhani nungu007 ungeanzia kwenye wikipedia ujue maana ya neno salute, baada ya hapo pitia dikshenari then unapotaka wewe... these days guugo helps solving simple arguments


Hakuna sehemu iliyokataza watu kupiga saluti, the only thing some soldiers find kwenye civian salute ni ile kuona kwamba civilian cant do it like they do, but it is not prohibited anywhere

Kweli mkuu hebu acheki hii hapa
Salute.jpg
 
7.jpg


Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.
Hiyo ni ishara ya msalaba, usipotoshe watu namimi pia nilikuwepo eneo la tukio.
 
Unamlazimisha sasa?

Kwa taarifa yako, Mkristo ambaye si Mkatoliki anaweza kwenda kwenye shughuli ya Wakatoliki na kupiga alama ya msalaba kama Wakatoliki kuonyesha ushirikiano na imani kwa Kristo mmoja.

Huyu kamanda alikuwa Mkatoliki na anazikwa Kikatoliki ona hapa Mzee wa Mshitu


20.jpg


Ibada ya kuuaga mwili Marehemu, Kamanda Liberatus Barlow kama ilivyoongoza na Watumishi wa Kanisa la Roman Catholic maana kamanda alikuwa muumini wa kanisa hilo.

There is your answer, acha kukurupuka.
Mkuu naomba unisaidie kujibu swali langu, Hivi wakati Rais Benjamin Mkapa alipokuwa anawasalimia wananchi kwa salamu ya "Mambo", ilikuwa inamuondolea sifa yake kama Rais au la?

Pili, wakati wanasiasa wakisalimia wananchi kwa salamu ya;
  1. Asalam aleykum.
  2. Tumsifu Yesu kristo.
na kila mtu kwa imani yake anaitikia kwani pale wote ni waislamu au wote ni wakristo wa katoliki?
 
Mbona salute ni kitu kidogo sana ukilinganisha na ving'ora? Kwa sasa hivi, bodaboda nao wanaving'ora..wakivipiga utafikiri kuna msafara wa mkubwa nyuma..tena mlio ule ule!
 
Back
Top Bottom