IVI HESHIMA ZA MWISHO KWA ALOUWAWA AKIWA KICHAKANI NA DADAKE? ALIJIFICHA NA DADAKE KWELI? ACHENI IZO UYU ACP KAUWAWA AKIWA KTK HARAKAT ZA KUMSINDIKIZA HAWALAKE, AKIWA KTK TENDO LA UASHERATI, HAINA TOFAUTI NA ALOKUFA AKIWA KIFUANI KWA HAWALA AKIBEMENDA, JAMANI TOENI UO MSALABA KUUDHALILISHa
EMT umetisha na hizo picha :]
Naona unanipa salute kiana. Wewe at least ni Chipukizi? Maana tumeambiwa hapa raia haruhusiwi kumpigia salute raia mwenzake.
Kiranga katuambia tukitaka kuwa critics tujiandae kwa kila neno moja tutakaloandika, tuwe tumeshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja tutakalosema, tuwe tumeshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo.
Naamini neno/maneno include(s) picha pia. Bado natafuta picha za raia wanaopiga salute mpaka zifike mia. lol
naona haikuwa saluti bali alikua anaanza ama katikati ya kuweka alama ya Msalaba

Mkuu,
Tatizo watu wanatafuta kuwa argumentative bila ya kuwa na merit. It takes work to be argumentative correctly.
nngu007
Lawrence Masha kama mnamtaka kumsema jamani mbona kuna mengi tu ya kumsema legitimately? Au mkiona kichaka tu mshabanwa haja?
Ila mjue mkitaka kuwa critics mjiandae kwa kila neno moja mtakaloandika, muwe mshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja mtakalosema, muwe mshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo. Msikilizeni mtume wa criticism.
Ndo kadiri ya "rule of thumb" of good criticism.
Sio mtu unajisikia tu kusema, mara leo mbona Kikwete kashika mwenge kwa mkono wa kushoto, ooh Masha kapiga saluti.
Hata gazeti la Shigongo husomi, achilia mbali kutafuta informative sources.
Watu wa aina hii watawafanya hata wenye malalamiko ya kweli waonekane wana "cry wolf" tu sasa.
JF ionekane ya wazushi waliojaa gubu tu.
Huyo Masha akikwambia kampata Guru , alikuwa anapiga Namaste, utasemaje?
masikini....Masha kumbe yupo?
Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.
naona haikuwa saluti bali alikua anaanza ama katikati ya kuweka alama ya Msalaba
kujadili hili ni kupoteza muda kwani hiyo inaonekana dhahili ni ishara ya msalaba.Sawa kabisa binti! Hakuna salute hapo. Hiyo ni ishara ya msalaba.
Usilazimishe mtu afanye utakavyo.... Axha upuuzi wewe
Mbona Mimi nimepiga salute na si mwanajeshi
Tumeishiwa hoja sasa tunajilengesha kwa wanaume