PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

Usilazimishe mtu afanye utakavyo.... Axha upuuzi wewe

Mbona Mimi nimepiga salute na si mwanajeshi

Tumeishiwa hoja sasa tunajilengesha kwa wanaume

Mkuu,

Tatizo watu wanatafuta kuwa argumentative bila ya kuwa na merit. It takes work to be argumentative correctly.

nngu007
Lawrence Masha kama mnamtaka kumsema jamani mbona kuna mengi tu ya kumsema legitimately? Au mkiona kichaka tu mshabanwa haja?

Ila mjue mkitaka kuwa critics mjiandae kwa kila neno moja mtakaloandika, muwe mshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja mtakalosema, muwe mshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo. Msikilizeni mtume wa criticism.

Ndo kadiri ya "rule of thumb" of good criticism.

Sio mtu unajisikia tu kusema, mara leo mbona Kikwete kashika mwenge kwa mkono wa kushoto, ooh Masha kapiga saluti.
Hata gazeti la Shigongo husomi, achilia mbali kutafuta informative sources.

Watu wa aina hii watawafanya hata wenye malalamiko ya kweli waonekane wana "cry wolf" tu sasa.

JF ionekane ya wazushi waliojaa gubu tu.

Huyo Masha akikwambia kampata Guru , alikuwa anapiga Namaste, utasemaje?

namaste_hands.jpeg
 
[/COLOR]
Bado kuna nafasi za ubunge zimebaki, JK si angeweza kumteua kama mbunge? BTW why katambulishwa kama Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana, na siyo Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, aka bosi wa zamani wa marehemu? Would that have made more sense?

Toka Uhuru, Umeshawahi kuona MBUNGE aliyeshindwa kura JIMBONI Mwake kupewa UBUNGE wa KUTEULIWA na RAIS? WEWE kweli UNAFIKIRIA KISIASA au UNAFIKIRIA kiurafiki bila KUJALI the outcome??? Rais Kikwete pia huwa anafikiria...

Tatizo ni hiyo SALUTE... kutambulishwa SIJALI... MIMI sio MFITINI kijeshi hauruhusiwi ku-SALUTE kama wewe hauna rank Jeshini period...

Nitasema UKWELI FITINA KWANGU NI MWIKO...
 
Huyo babu muasia hapo juu naye anapiga saluti?

Get a job, holla at Perdue.

Mtu yuko msibani, hata mazishi bado ushaanzisha fitna kwa gia ya kupinga fitna?
 
Mkuu,

Tatizo watu wanatafuta kuwa argumentative bila ya kuwa na merit. It takes work to be argumentative correctly.

nngu007
Lawrence Masha kama mnamtaka kumsema jamani mbona kuna mengi tu ya kumsema legitimately? Au mkiona kichaka tu mshabanwa haja?

Ila mjue mkitaka kuwa critics mjiandae kwa kila neno moja mtakaloandika, muwe mshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja mtakalosema, muwe mshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo. Msikilizeni mtume wa criticism.

Ndo kadiri ya "rule of thumb" of good criticism.

Sio mtu unajisikia tu kusema, mara leo mbona Kikwete kashika mwenge kwa mkono wa kushoto, ooh Masha kapiga saluti.
Hata gazeti la Shigongo husomi, achilia mbali kutafuta informative sources.

Watu wa aina hii watawafanya hata wenye malalamiko ya kweli waonekane wana "cry wolf" tu sasa.

JF ionekane ya wazushi waliojaa gubu tu.

Huyo Masha akikwambia kampata Guru kabadili dini, alikuwa anapiga Namaste, utasemaje?

namaste_hands.jpeg

What is Jamii Forums? Sikuweka story ya UZUSHI nimeweka PICTURE; na Nilikwenda JKT na nilifundishwa kuwa Raia hapaswi kumpigia Salute Mwanajeshi au POLICE only if amepewa Madaraka hayo na AMIRI JESHI MKUU na kuapishwa ambaye ni Rais wa NCHI.

Sasa Lau Masha ni Just CCM-NEC Member; Macho yangu yanaonyesha he's saluting a dead POLICE officer 2 me it is wrong... ndio Maana nimeweka JAMII FORUMS kupata Msaada...

Lakini kila mtu hapo kwenye HOJA ni kunishutumu kwasababu ni Wanampenda LAU MASHA; kwahiyo akifanya kosa lolote la kvunja sheria ya nchi they just let it just go; kama vile alivyokwepa JKT; sasa kweli kama kuna baadhi yetu SHERIA za NCHI YETU hazina MAANA kwetu na wengine wanapigwa mabomu na kuuwawa na hawana watetezi

KESHO HII NCHI ITAKUWA inaitwa NINI? LAKINI inaonekana wote sisi tumekuwa na UPANDE hatujali tena SHERIA za NCHI YETU.... OK FINE and THANKS...
 
Wewe umeweka still picture, si video.

Unajuaje kwamba alipomaliza kuweka upaba wa vertical hakupiga tena ubapa wa horizontal kukamilisha alama ya msalaba?

After all yeye mkristo, marehemu mkristo.

Lau Masha tushamblast sana hapa, hapendwi mtu wala nani. Kwa hiyo huwezi kusema nina bias ya kumtetea Lau Masha. Namjua tangu alivyokluwa na mshakaji wake Le Mutuz Mt. Vernon, akaja bongo kuwa company Secretary Tanzania Oxygen, wakakita kitita na Mzee Malima.

Kwa hiyo sijamjua Lau baada ya kupata Uwaziri. Na nilianza kufanya countdown tangu kaingia bongo kwa sababu namjua tangu New Roc City, sijawahi kuwa mpambe wa mtu yeyote nitake radhi.

Ila pia hata wewe ukija nusunusu na habari za kuungaunga, hata kama unamzushia Shetani mwenyewe, nini Lau Masha, tutakuambia hapo umeboogie step.
 
Wewe umeweka still picture, si video.

Unajuaje kwamba alipomaliza kuweka upaba wa vertical hakupiga tena ubapa wa horizontal kukamilisha alama ya msalaba?

After all yeye mkristo, marehemu mkristo.

Soma kabla ya kuandika - Wakristo kuna Madhehebu Mengi- na wanaofanya Ishara ni Roman Catholic; na yeye sio
 
saluti haijanikuna bali shekh ubwabwa hapo nyuma na kamera ya digitali. waangalie lisije kuwa bomu la kujitoa mhanga
 
Mkuu,

Tatizo watu wanatafuta kuwa argumentative bila ya kuwa na merit. It takes work to be argumentative correctly.

nngu007
Lawrence Masha kama mnamtaka kumsema jamani mbona kuna mengi tu ya kumsema legitimately? Au mkiona kichaka tu mshabanwa haja?

Ila mjue mkitaka kuwa critics mjiandae kwa kila neno moja mtakaloandika, muwe mshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja mtakalosema, muwe mshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo. Msikilizeni mtume wa criticism.

Ndo kadiri ya "rule of thumb" of good criticism.

Sio mtu unajisikia tu kusema, mara leo mbona Kikwete kashika mwenge kwa mkono wa kushoto, ooh Masha kapiga saluti.
Hata gazeti la Shigongo husomi, achilia mbali kutafuta informative sources.

Watu wa aina hii watawafanya hata wenye malalamiko ya kweli waonekane wana "cry wolf" tu sasa.

JF ionekane ya wazushi waliojaa gubu tu.

Huyo Masha akikwambia kampata Guru , alikuwa anapiga Namaste, utasemaje?

namaste_hands.jpeg

Thanks Kiranga

Inasikitisha sana kuona watu kama nngu007 wanakosa kabisa hoja na kuanza kushadadia kwanini kapiga saluti

Hatujui uhusiano wa Masha na Libe wakati Masha ni waziri, Libe alikua mtu wa kitaa sana tu, na Mahsa pia.... Naona tunapoelekea kuna siku watu watasema kwanini kavaa suti nyeusi na amenyoa, mbona warioba amevaa ya kijivu na pamoja na uaraza hajanyoa

Binafsi naona tunapoteza hoja za msingi na kuanza kujadili viroja
 
Soma kabla ya kuandika - Wakristo kuna Madhehebu Mengi- na wanaofanya Ishara ni Roman Catholic; na yeye sio

Unamlazimisha sasa?

Kwa taarifa yako, Mkristo ambaye si Mkatoliki anaweza kwenda kwenye shughuli ya Wakatoliki na kupiga alama ya msalaba kama Wakatoliki kuonyesha ushirikiano na imani kwa Kristo mmoja.

Huyu kamanda alikuwa Mkatoliki na anazikwa Kikatoliki ona hapa Mzee wa Mshitu

20.jpg

Ibada ya kuuaga mwili Marehemu, Kamanda Liberatus Barlow kama ilivyoongoza na Watumishi wa Kanisa la Roman Catholic maana kamanda alikuwa muumini wa kanisa hilo.

There is your answer, acha kukurupuka.
 
What is Jamii Forums? Sikuweka story ya UZUSHI nimeweka PICTURE; na Nilikwenda JKT na nilifundishwa kuwa Raia hapaswi kumpigia Salute Mwanajeshi au POLICE only if amepewa Madaraka hayo na AMIRI JESHI MKUU na kuapishwa ambaye ni Rais wa NCHI.

Sasa Lau Masha ni Just CCM-NEC Member; Macho yangu yanaonyesha he's saluting a dead POLICE officer 2 me it is wrong... ndio Maana nimeweka JAMII FORUMS kupata Msaada...

Lakini kila mtu hapo kwenye HOJA ni kunishutumu kwasababu ni Wanampenda LAU MASHA; kwahiyo akifanya kosa lolote la kvunja sheria ya nchi they just let it just go; kama vile alivyokwepa JKT; sasa kweli kama kuna baadhi yetu SHERIA za NCHI YETU hazina MAANA kwetu na wengine wanapigwa mabomu na kuuwawa na hawana watetezi

KESHO HII NCHI ITAKUWA inaitwa NINI? LAKINI inaonekana wote sisi tumekuwa na UPANDE hatujali tena SHERIA za NCHI YETU.... OK FINE and THANKS...

Hii ya kupiga saluti ilishajadiliwa hapa wakati Sugu alivyopiga saluti. Sujui kama ulileta picha yake hapa au kwa vile yeye alikuwa amevaa magwanda?

28.jpg

Inategema na tafsiri yako ya saluti. Saluti ni salamu; wanajeshi wanaionyesha kwa kuweka kiganja cha mkono wao wa kulia juu ya paji la uso wao. Kila jeshi lina namna ya kuiweka, wengine hunyoosha viganya vyote, wengine hutumia vidole viwili; na askari wote katika jeshi hilo wanatumia sataili moja ya kufanya hivyo. Raia hufanya hivyo kwa namna mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kupungiana mikono, kuweka kiganja kwenye lips za mdomo, kunyoosha vidole viwili hewani,kunyoosha ngumi hewani, na vile vile kuweka kuweka kiganja cha mkono wa kulia juu ya paji la uso kama wafanyavyo askari. Kwa hiyo saluti ni saluti tu, hakuna saluti ya askari wala ya raia au ya maiti.

1. A salute is a gesture or other action used to display respect.

2. Salutes are primarily associated with armed forces, but other organizations and civil people also use salutes.

3. methods of performing salutes, using hand gestures, cannon or rifle shots, hoisting of flags, removal of headgear, or other means of showing respect or deference.
 
7.jpg

Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

Na wewe nawe umezidi kubandika posti za kipumbavu. Kwani lazima uanzishe thread kila siku? Jitu zima hovyoo! Kudaadadeki!
 
Hii ya kupiga saluti ilishajadiliwa hapa wakati Sugu alivyopiga saluti. Sujui kama ulileta picha yake hapa au kwa vile yeye alikuwa amevaa magwanda?

28.jpg

Hapana, SUGU pia AMEFANYA KOSA hayo MAGWANDA ni ya BINAFSI hayakutolewa na SERIKALI YA JAMHURI ya TANZANIA; HILO NI KOSA PIA... na NAONA MAPOLISI wanamwangalia SUGU BILA kufanya CHOCHOTE
 
Kamshtaki basi, si ushahidi unao.

Umeona MTU YOYOTE wa CCM hata kama ana kosa la kutishia KUUA na MABASTOLA bado MAPOLISI na MAHAKAMA Hawaoni ni KOSA wanakimbia MAJUMBANI MWAO...

Hakuna tena RULE OF LAW; Sasa ETI unasema kamshitaki UMEONA hakuna tatizo hapo HATA KIDOGO Lakini in REAL DEMOCRACY kila mtu anapaswa kujua what's right and wrong; hata kama UNAMPENDA huyo Mwanasiasa Kama Kahujumu UCHUMI au KAIBA kila mtu anapaswa asimame na HIYO SHERIA

Kama hivi HATUTA FIKA; Wachache WAPI Wengi Wazike...
 
Back
Top Bottom