Elections 2010 PICHA: Kikwete alivyofunika jana huko Mwanza

75 percent ya hao wamefuata bongo flava, 20 percent wamekuja kumuona Kikwete, 5 percent ni wale wanaopenda kusikiliza sera.

5% wamefika hapo baada ya kupanda lori bila kujua wanakwenda wapi na kufanya nini na wakiwa kwenye malori walipewa buku mbili basi tosha
 
Hiyo picha ya tatu toka juu naona wajukuu zangu wamekosa madarasa wanafurahia Bono flavour!
 
SlaakuhutubiaMwembeYanga2.jpg
 
Mi nimetoka Mwz juzi, Chadema ni funika kwa kwenda mbele, Kwa posho ya mkutano shs 2000, Kofia, T shirt, na kusafiri kutoka interior kwenda kushangaa Mjini, kusikiliza Bongo flava bila ya kutoa hata senti, unategemea nini kama watu wakizozana watu wanajaa kushangaa? Mshikaji hana lake tena Wa tanzania hawadanganyiki tena!
 
75 percent ya hao wamefuata bongo flava, 20 percent wamekuja kumuona Kikwete, 5 percent ni wale wanaopenda kusikiliza sera.

ndio maana Jana tarehe 26.10.10 huko Geita shule 4 za msingi na sekondari zilizo kwenye kata ya nkome zenye wanafunzi zaidi ya 5,000 zililazimishwa kufunga shughuli za masomo na wanafunzi wakatakiwa/wakalazimishwa kwenda kumsikiliza JK ili asiaibike kwa kukosa watu wa kumsikiliza!!. Jamaa ana wakati mgumu sana
 
Hiyo nyomi ni balaa, no malori, no buku 5, no bongo flava, no fulana, no kapelo...watu wamekula boda tu!

Nakuachia nchi Dr. Slaa!!
kwa kweli sisi hatuhitaji:

  • mlingula
  • tiisheti
  • buku tano (HII NIMEISHUHUDIA LIVE PALE KIGOMA,MH SERUKAMBA UJUMBE HUO)
  • ahadi/promises
sisi tunataka sera ''zinazoelezea utekelezaji wake''.......!SLAA NCHI YAKO HII
 
Mwana Kijiji, JK mvuto wake ulikuwa 2005. Sasa hivi anatapatapa. Amewaacha wapiga debe wake wenye kujua siasa amegeukia green guard na wezi kama Kinana aliyechukua mitambo ya kufulia kombati za jeshi kaigeuza Dry cleaners zake
 
Tuseme kweli hata pamoja na malori bado JK anamvuto na yeye....
Mkuu hamna kitu hapo, wenye mvuto ni wakina Chege,Marlow,The comedy na wasanii wengine wanaoambatana naye. Kwa jinsi watu walivyopigika maonyesho ya wasanii aina hiyowengi wanayasikia kwa wenzao.
Kama hilo huliamini, mgombea wa UPDP apewe support na wasanii hao walao kwa mikutano miwili tuu, na kwa tamko la haraka haraka kila mtu atasema mgombea ana mvuto na ana dalili zote za kushinda.
 
Back
Top Bottom