kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,155
- 16,152
Mzee kikwete jana nafasi chache aliyoipata aliitumia hiyo hiyo kumjibu kiongozi wa matembezi aliyemwambia mzee kikwete abaki msoga sio kila safari ya raisi yeye yupo pembeni,
Kikwete akachombeza anaona kuna watu wanajisumbua kupiga soga CCM itashinda chaguzi zote kuanzia ya 2025 mpaka kwa maana ya milele!.......
Wazee wa matembezi mnapoteza muda na fedha kidogo mlizo nazo Lowassa kishakwenda sabodo hayupo!