Mimi hapo kwenye kubomoa mji wa zamani tu ndio kinaniuma sana!
Wkati mwingine JF huwa inanipa burudani!!Hivi kova ana undugu na wassira
Nae anashangaa,,? Ukilaza huo.
hivi ajui kinachoendelea?
Mheshimiwa Rais JK amezuru eneo la maafa pale kulipoporomoka ghorofa leo asubuhi.
Usanii huu utaisha tu mwaka 2015.Mungu atusaidie kwani Taifa linaangamia kweupe.
Chanzo cha kuporomoka hili jingo la NHC ni sink hole per RPC Kova, baada ya kugundua Mkandarasi ni Kada wa CCM
Mheshimiwa Rais JK amezuru eneo la maafa pale kulipoporomoka ghorofa leo asubuhi.
Nilivyoona kichwa cha habari Jk kwenye ghorofa lililopolomoka nilidhani Jk ni kitengo kikubwa kuliko vyote hapa nchini ktk shughuli za uokoaji.