Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,436
- 4,429
Ndo zake hizo
atatoa pole na kuzuru eneo
na kwenda msibani
halafu yataishia hapo hapo
Huyo Jk ana upungufu mkubwa wa maamuzi magumu kwenye damu yake, usitegemea atachukua hatua yoyote.Labda safari hii anaweza kuwa mkali kidogo! Tusubiri.
Boss,
Una habari kuwa client hapo ni NHC?
Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!
Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?
Hasara iliyopatikana nani atafidia?
Huy md wa NHC yuko kisiasa siasa zaidi
yuko full masifa
last time aliandaa mdahalo Karimjee hall
na wakazi wa NHC kujadili wauziwe au wasiuziwe nyumba za NHC
kumbe alishaamua kuwa hawauziwi lol
sasa hili la kuingia partnership na watu binafsi na kuwaacha hao watu binafsi
wajifanyie wanalotaka bila NHC kujali quality ndo nalishangaa sasa
achilia mbali kwamba ile old Daresaalam ndio ina dsapear so fast
na infrastructure za City center za ku replace two stories building with a 20 stories building haziruhusu that much
hii nchi bana ...

Mimi hapo kwenye kubomoa mji wa zamani tu ndio kinaniuma sana!
Huyo Jk ana upungufu mkubwa wa maamuzi magumu kwenye damu yake, usitegemea atachukua hatua yoyote.
Kimbelembele namuona akielezea kwa JK utafikiri alikuwepo wakati ghorofa linadondoka...lakini nampenda kwani anajua kuishi mjini
Boss,
Una habari kuwa client hapo ni NHC?
Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!
Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?
Hasara iliyopatikana nani atafidia?
Mimi hapo kwenye kubomoa mji wa zamani tu ndio kinaniuma sana!
Labda safari hii anaweza kuwa mkali kidogo! Tusubiri.
Japo kuwa anatakiwa athamini historia lakini ninadhani jukumu la kuhifadhi mji wa zamani na muonekano wa jiji zima ni la Kitengo cha mipangomiji
Yeye kosa lake ni kutothamini cha kale ila sheria ya nchi haimkatazi
Usitarajie hilo hata siku moja, Sitta alimwambia live matokeo yake akamfanyia zengwe hadi akamwondoa kwenye nafasi ya Spika, tuombe Mungu atufikishe 2015 vinginevyo kila aina ya zahama tutaiona hapa Tanzania,
Nhc!? C ndo yule kijana anasifiwa sana kibonde wa clouds kwa kazi nzuri?