Picha: JK kwenye ghorofa liloloporomoka

Tutaishia kukoment tuamue moja kama nchi za wenzentu serikali oligopoly madarakani haitufai tuipinge huyu kiongozi utawala wake umekuwa wa majanga karibuni kila mwaka jamani hebu kumbukeni na mtafakari hii serikali inatupeleka wapi?
 
Chanzo cha kuporomoka hili jingo la NHC ni sink hole per RPC Kova, baada ya kugundua Mkandarasi ni Kada wa CCM
 
Boss,

Una habari kuwa client hapo ni NHC?

Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!

Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?

Hasara iliyopatikana nani atafidia?

Hapo hakuna hasara kampuni ya bima italipa.Kuna bima inaitwa 'Contractors All Risk' (CAR) kwa wajenzi wasanii kama hao lazima watakuwa wamejihami kwa kukata aina hiyo ya bima
 
Nchi yetu haina kiongozi mzalendo kama Nyerere, na Sokoine, Jk kafika badala tumuone anashiriki kuokoa anakuja kushangaa sahangaa.. angekuwa mwalimu Nyerere tungeshuhudia akisaidia uokozi..

Lakini cha kushangaza kafika na kushangaa na kupanda gari na kukimbizwa haraka utadhani ni majeruhi alie angukiwa gorofa!
Ni jambo la kusikitisha sana..kiongozi anaogopa raia wake!
Ni janga
 
JK amekuja kushuudia Shirika la Nyumba la "Taifa" linavyohatarisha maisha ya wananchi. Na pia linavyowaibia wananchi-wanajenga nyumba kwa bei raisi kwa kutumia makandarasi na vifaa vya vichochoroni na kuziuza kwa bei mbaya. Sasa leo dili limekataa.
 
IMG_8350.JPG

Wazee wa intelijensia na vitu vizito vyenye ncha kali wakiwa katika eneo la uokoaji!
 
Ukitaka kuishi Tanzania kwa raha mtaji ni mdogo tu ni kuwa MSANII na MNAFIKI ndiyo mambo yanayolipa sana katika nchi hii na kwa serikali hii jaribu uone matokeo yake sasa hivi utasikia mkuu wa wilaya,mkoa au mkurugenzi utendaji hauangaliwi siku hizi
 
Boss,

Una habari kuwa client hapo ni NHC?

Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!

Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?

Hasara iliyopatikana nani atafidia?

Hii imenishangaza mno ....
 
huyu JAMAA SIJUI NI KWA NINI ALITEULIWA NA MKAPA KUA FOREIGN MINISTER ANGETEULIWA KUA WAZIRI WA MIPASHO HIYO WIZARA NDO INAMFAA LOH USITEGEMEE CHOCHOTE KWANI 2008 JENGO LILIDONDOKA AU KUMBU KUMBU ZANGU AZIKOSAWA ILA NDIO UKWELI WENYEWE
 
Mpaka hapo nitakaposhawishiwa vinginevyo naendelea kuamini maana ya msomi ni yule anayeweza fanya kitu kitokee na siyo anayeweza kueleza kwa umahiri jinsi kitu kinavyofanywa!Ni nani mhandisi kati ya wajenzi wa mapiramidi Misri ya kale na hawa wetu wenye ma PhD?Naendelea kuamini wasomi hakuna Tanzania ni mivyeti ya kutukania watu tuu!Prof.,Dr eng.nk uajuao ni wasanii tu ndo maana maafa kama haya yataendelea sambamba na yale ya umaskini!Marehemu wote wapumzike kwa amani na majeruhi wapone kwa haraka!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mheshimiwa Lowasa angekuwa na rungu , huyo mkandarasi na mkurugezi. wangekuwa wanasubiri barua za kufukuzwa kazi,
 
huyu JAMAA SIJUI NI KWA NINI ALITEULIWA NA MKAPA KUA FOREIGN MINISTER ANGETEULIWA KUA WAZIRI WA MIPASHO HIYO WIZARA NDO INAMFAA LOH USITEGEMEE CHOCHOTE KWANI 2008 JENGO LILIDONDOKA AU KUMBU KUMBU ZANGU AZIKOSAWA ILA NDIO UKWELI WENYEWE

Namshaur awe MC baada ya kumaliza kazi ya kuwa rais ambayo ameidhalilisha vyakutosha.
 
Jk ameenda kuwaongezea watu uchungu kwani hao aliowapa dhamana ya kusimamia ujenzi wanamwangusha xana jk mwoga wa kuwaadhibu .
 
Back
Top Bottom