Picha: JK kwenye ghorofa liloloporomoka

...Kovu, sorry KOVA kwa kuuza sura ni balaaa. Jamaa anajua timing ile mbaya....shida yake kubwa anaendeshwa na kuagizwa toka Lumumba....

Kamanda alikuwa Tibaigana, alikuwa haangalii makunyanzi, haangalii "Muadhini wala Mteka Maji Msikitini" kwake yeye, Sheria Kwanza mengine baadae....


Kova mbona ni bingwa wa kuuza sura kwenye tv.. tokea akiwa mbea..anajulikana kwa sifa..Tibaigana alikuwa moto wa kuotea mbali.. Kwanza wakati wa Tibaigana kulukuwa hakuna matukio kama ya sasa ya kova
 
Yeye na hao watu wa mipango miji wote kapu moja tu! Kwanza hata Sheria za Jeshi la Zima moto Tanzania haziruhusu kujengwa ghorofa zaidi ya Dar, 10 kwa maana hawana uwezo wa kiteknolojia kuzima Moto kuanzia ghorofa ya 10 na kuendelea, na kisheria ni lazima upate kibali cha Zima moto ndio uweze kujenga ghorofa, cha ajabu kuliko vyote hao NHC ni Shirika la Serikali hivyo walipaswa kuwa wa kwanza kufwata Sheria na si kunyume chake!
kwa hiyo kuna mawaziri itabidi wawajibike hapo.
 
Nilivyoona kichwa cha habari Jk kwenye ghorofa lililopolomoka nilidhani Jk ni kitengo kikubwa kuliko vyote hapa nchini ktk shughuli za uokoaji.
 
Akina Mchechu, Mndolwa na timu yao ya NHC mpya wapo kiulaji na kibiashara zaidi. Mtakapowashtukia watakuwa tayari ni matajiri wazawa. Hata lile jengo lililopo Samora opposite na Twiga BanCorp wataalamu wanasema lina kasoro nyingi sana. Ni suala la muda tu.
 
Labda safari hii anaweza kuwa mkali kidogo! Tusubiri.

Ni ngumu kumeza

Boss,

Una habari kuwa client hapo ni NHC?

Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!

Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?

Hasara iliyopatikana nani atafidia?

Raisi mstaafu aliwahi kujiuzulu kwa sababu za vifo vya mahabusu........hapa kuna mawaziri wawili (1) anasimamia masuala ya ujenzi nchini Mh. John Pombe magufuli; na (2) Waziri mwenye dhamana ya ardhi na makazi - Mh. Profesa Tibaijuka; namshauri Mh. Raisi awaite ikule na kuwaarifu kuwa amekubali kujizulu kwao na taarifa hiyo itolewe kwa vyombo vya habari kwenye taarifa ya saa mbili usiku wa leo
 
Yeye na hao watu wa mipango miji wote kapu moja tu!
Kwanza hata Sheria za Jeshi la Zima moto Tanzania haziruhusu kujengwa ghorofa zaidi ya Dar, 10 kwa maana hawana uwezo wa kiteknolojia kuzima Moto kuanzia ghorofa ya 10 na kuendelea, na kisheria ni lazima upate kibali cha Zima moto ndio uweze kujenga ghorofa, cha ajabu kuliko vyote hao NHC ni Shirika la Serikali hivyo walipaswa kuwa wa kwanza kufwata Sheria na si kunyume chake!

Nani atamfunga paka kengele
 
Nchi yetu haina kiongozi mzalendo kama Nyerere, na Sokoine, Jk kafika badala tumuone anashiriki kuokoa anakuja kushangaa sahangaa.. angekuwa mwalimu Nyerere tungeshuhudia akisaidia uokozi..

Lakini cha kushangaza kafika na kushangaa na kupanda gari na kukimbizwa haraka utadhani ni majeruhi alie angukiwa gorofa!
Ni jambo la kusikitisha sana..kiongozi anaogopa raia wake!
Ni janga
 
Zaidi ya yote tutapiga kelele kwa wiki, wiki mbili tops, halafu kila mtu atasahau na ku move on to the next scandal/ disaster/ election/ intrigue/ dumbed down political story/ kidnapping case/ assasination attempt etc, gross malfeasance story watching as a spectator sport in this ignominy of idiocratic and lewd league of cacophonous clamoring .

Matokeo ya form four yalivyotangazwa ilikuwa bonge la brouhaha, nani anafuatilia nini kinafanyika sasa?

Tuna matatizo ya kiutamaduni. Juzi nimefurahi sana kuona kuna mshashi mmoja kaweka thread ya ku list ahadi za Kikwete na utimizaji wake (hata kama si tracking ya kisayansi) kwa sababu ndo mara ya kwanza kuona mtu anafanya kitu kama hicho in a quasi-comprehensive way. Wakati wenzetu rais anapotoa hotuba kuna watu wanai live-factcheck!

Tunahitaji ma watch dog organizations, preferably grassroots based. Sasa hivi sijui hata kama kuna ki online journal au ki blog cha urban development bongo kinachofuatilia habari kama hizi specifically and consistently.
 
daaaaaaaah dhaifu anawaza jinsi ya kuunda tuume kuua sooo............yaaani siasa hadi kwenye maisha ya watu .......!
 
Tatizo kubwa la viongozi wetu ni "reactive" na sio "pro-active". Mwezi uliopita limeanguka gorofa sinza likauwa watoto 2. Mwezi huu tayari lingine limeanguka nakuuwa watu.

Chaajabu serekali na vyombo vya usalama viko pro-active na bize na Chadema wanaacha mambo muhimu yanayo husu maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom