Picha iliyoniboa sana leo hii..

Hiyo ni kata ku***.
Nasikia historia ya kata K iko hivi. Miaka hiyo wakati sheria za USA bado haziwatambua mashoga walitafuta namna ya kujitambulisha na kutangaza biashara yao. Na njia yenyewe ndo ikawa kuvaa kama hivyo alivyoonyesha dada(mlegezo) . Wanunuzi wanaopenda bidhaaa adimu na mambo ya reverse call(tigo) wanakuwa washaelewa

Kwa hiyo na wale vijana wanaopenda kuvaa kata K. wafuatilie historia ya kata K labda wataacha.
 
let her live her life,
kila mtu na choice/preference zake..
hata wewe ukiamua kufunika mwili wote kwa vitenge...
hakuna atakayekuhoji,

hakuna kitu kwa mwanamke...kama kuvaa nguo na kufeel,you are one sexy bomb!
deep inside is what we always crave/desire
labda kama huna confidence..
na mwili wako hauruhusu...
ila we all want to be strippers...sometimes..!:A S 100:
 
hata kama vazi limekaa pabaya ile kenyewe kazuri kiasi..... ndo mambo ya kileo, jamaa yangu kanambia...'zamani ilikua ni vazi linaufunika mwili, ila siku hizi yatakiwa mwili ndio unafunika vazi'
 
Awa wanatafuta kubakwa tu hawana lolote.

Hapana. {si kuhalalisha ubakaji} Lakini kama mbakaji anaweza kumbaka mdada kwa kutamanishwa na picha kama hapo juu, basi huyo anaweza kumbaka mdada yeyote yule hata aliyejifunika shuka mwili mzima.
 
hata kama vazi limekaa pabaya ile kenyewe kazuri kiasi..... ndo mambo ya kileo, jamaa yangu kanambia...'zamani ilikua ni vazi linaufunika mwili, ila siku hizi yatakiwa mwili ndio unafunika vazi'
Du!
 
Hiyo picha imepigwa ndani na kisha kuanikwa kwenye mtandao, sije shangaa hata mtaani anapita na uku amevaa icho kivazi... basi kama hajabakwa ajihesabu kuwa ana bahati mbaya.
 
Aisee!! sikufahamu hili,du!
 
Hiyo picha imepigwa ndani na kisha kuanikwa kwenye mtandao, sije shangaa hata mtaani anapita na uku amevaa icho kivazi... basi kama hajabakwa ajihesabu kuwa ana bahati mbaya.
Mkuu X-P, sijui psychology ya watu wanaobaka au wanaopenda kufanya hivyo. Lakini jinsi unavyoelezea hapo juu is as if watu wanabaka kwa lengo la kumkomoa mtu aliyejivalia nguo apendazo yeye. Kama ni hivyo, hilo ni tatizo jingine kabisaa wala si la mavazi tena!!
 
Hivi ukianika mali zako adharani mfano TV na redio zako zile za kisasa zile zenye DVD, tena basi umeziweka bila ulinzi akija mwivi na kuziiba utalalamika mkuu?
 
Mkulu X-Paster, unaniangusha kwa huo mfano wako mazee!!
 
mwenzenu anatafuta business huku Miami(wathungu) ha ha ha mbona wadada wa bongo mwajigamba hivyo? aisha loh sasa umehamua kutemebea uchi kabisa na ramadhani yote hii? u need prayers!
 
Mkulu X-Paster, unaniangusha kwa huo mfano wako mazee!!
Mkuu Steve Dii nakuangusha kivipi na hali halisi ndio kama unavyo hiona. Hawa wadada wa kileo mali wanazianika nje nje, kama wafanyabiashara wa kimachinga vile... Sasa wakitokea wenye roho dhaifu wakawa nanihiu watalalamika?
 
Mdada unavaa hivi Unategemea nini?????

miami18.jpg
Kubakwa au kupigwa mtungo!
 
Back
Top Bottom