Picha iliyoniboa sana leo hii..

Guys,

Just wanna let you know that there is 'global warming'....

The effect is serious. IPCC scientists have proved....

SO, let her 'cool off'
 
Biashara bila matangazo hailipi. Huyu ni mfanya biashara na hapa anatangaza aina ya bidhaa zake alizonazo
 
Sorry FirstLady1, kumbe hiyo ni biashara 101%,ni blog gani nikafanye hata window shopping?
 
Mdada unavaa hivi Unategemea nini?????

miami18.jpg
...Punguza hasira FL1..wengine tunaburudika na miondoko hiyo...:A S 8::A S 8:
 
Nyie vipi? kwani hamjui kuwa biashara matangazo? Mwenzenu alishachagua staili hiyo ya maisha!
 
Hhiihiih ihiihi FL ukitembelea south America si utakimbia!!!!! hapo ni Miami full joto:becky::becky:
 
Hhiihiih ihiihi FL ukitembelea south America si utakimbia!!!!! hapo ni Miami full joto:becky::becky:

ha...........ha............ kwani hako ka Trouser angepandisha kakafunika hiyo nguo yake nyeupe ya ndani ni kosa Maria Roza...kizazi hiki kweli siku hizi mwili hauna thamani kwa baadhi ya kina dada ..manyonyo na sehemu mbali mbali zikiwa wazi hakuna tatizo ..
 
FL1, nguo ndogo hizo jamani... hazimuenei
 
Yuko poa tu bana. In fact angelipiga na kichupi chake pekee... si yuko ndani ya nyumba yake na picha kaweka mwenyewe kwenye blog (sijui yake)?! What's wrong with that?... umri una mruhusu na kafanya kwa ridhaa yake bila kushikiwa pistol. Tunaona mapaja ya Masai mitaani na kwenye daladala, kwere yatoka wapi kwa kitovu na kiuno tu cha huyo mdada?! U-Hawa Ghasia unavuka kipimo sasa!
 
Anaitwa aisha hapo alikuwa summer vacation in miami.mchungulieni fresh www.uturn.co.tz uko ndo utawaona michangu ya kibongo iliyoolewa na vibabu vya kizungu inavyojishaua na kupigana madongo.
 
Yuko poa tu bana. In fact angelipiga na kichupi chake pekee... si yuko ndani ya nyumba yake na picha kaweka mwenyewe kwenye blog (sijui yake)?! What's wrong with that?... umri una mruhusu na kafanya kwa ridhaa yake bila kushikiwa pistol. Tunaona mapaja ya Masai mitaani na kwenye daladala, kwere yatoka wapi kwa kitovu na kiuno tu cha huyo mdada?! U-Hawa Ghasia unavuka kipimo sasa!

<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p> </o:p>
Mmmh I can't believe this ! <o:p></o:p>
 
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p> </o:p>
Mmmh I can't believe this ! <o:p></o:p>

FirstLady,
Naomba kukuuliza Da'yetu... Je, una m-judge huyo dada kulingana na mavazi yake kama ulivyoweka hiyo picha juu au kwa mambo mengine ambayo bado hayajaongelewa hapa?!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom