Unajifunza nini kwenye picha hii?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Screenshot_20240208-181616.jpg




Kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenye hii picha.

picha kuna muda zinatabiri Mambo ya, mbeleni
 
Jomo Kenyata uyo mzee Alieketi na dogo apo ni Uhuru Kenyata alafu uyo aliyeinama n Moi kibaki then uyo amesimama wima ni Daniel torotich Arap Moi
Hivi ni Moi Kibaki au Mwai Kibaki? Alafu wote umepatia

What a lovely day.
 
Nchi ya Wakabila.
Wakikuyu watatu na mkalenjin mmoja ambao wote wamefanikiwa kutawala Kenya
 
Walio tangulia wapumzike kwa amani , mzee Kenyatta, mzee moi na mzee kibali.

Ninachojifunza siasa za Afrika za kisasa na kutokubaliana na mawazo tofauti na unayoyaamini wewe na mirengo ya kiifuasi pamoja na ubinafsi rais wa pili kenya angekuwa Jaramogi Ajuma Odinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom