Picha hiii imenishangaza

jamani jamani jamani.yale yale yaliomkuta waziri wa ulinzi wa Ujerumani ana kashfa ya kukopi PHD thesis yake kwa mtu mwingine.Lakini nafuu yeye walau kasoma kakopi je mzee wa kaya za kupewa tu sidhani kama alishaandika thesis tofauti na dissertation yake ya kadigriiiiiiiiiii:mullet:

Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ????????????????????????????????????????
 
hivi Mkapa hakuwahi kupata shahada ya heshima? mbona haitwi dr?
 
We waukweli, waitoe gazetin híi iko poa. Ndo maana noti mpya wamechakachua kumbe wamesomea.
 
Hii ndo picha vijana wa Ikulu wanatafuta...watu kadhaa wameishatiwa nguvuni kwa kusambaza picha za kuumbwa na kumkashifu rais.....Tahadhali
 
Hapana hii kali,kama mtu anaweza kutengeneza picha kama hizo, akimtaka mtu wako si anaweza kuunganisha picha kama hizo na kwenda kumuonyesha na mtu akaamini na kuvunja mahusiano yenu?
 
Back
Top Bottom