Kumbe kutembea na Kondomu ndio kuwa kijana wa kisasa?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Hii post ya East Africa Radio imenishangaza sana,

Screenshot_20240309-191701.jpg


UZINZI UNAENEZWA KWA KILA NJIA SIKU HIZI.
 
Binafsi condom huwa natembea nazo, incase of emergency, ila sio kwenye wallet

1. Nikiwa pikipiki,
huwa nazificha kwenye mfuniko wa betri

2. Nikiwa na gari
Huwa nazificha kwenye Headrest
 
Back
Top Bottom