Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 748
- 1,816
Yaan hii imenishangaza sana.
Angalia hapa
Angalia hapa
Sasa kwa nini hutapiki?😁Hiyo picha ya huyo mtu hapo, inatia kichefu chefu kabisa,...
Ungeeleza kilicho kushangaza, huenda ungepata msaada wa maelezo ili usibaki unashangaa tu.Yaan hii imenishangaza sana.
Wanaigeria na wakenya pia kwao kuna njaa sana ndio maana wanakimbia kwao,bongo kuna nafuuWa Ethiopia wanakimbiliaga kwa Makaburu nahisi kwao kuna life la moto sana, sawa na wanaija tu, wao mbio zao ulaya na some developed Asian countries.
Riyo tua haijasaidia chochote. Hujamsikia mwenyewe rais juzi anasema katumia hela nyingi kujitangaza na kuibrand Tanzania lakini hakuna matokeo yoyote?Matunda ya Royal Tour kuutangaza utalii Tanzania.
Shukran mama Samia, Tanzania sasa kumekucha kiuchumi. Malizia miradi yako tanzania ipae.
2025 ni wewe tu, 2030 ni wewe tu Mungu akipenda
Imekushangaza nini? Ethiopia kukimbia Nchi yao inahusikaje na Tanzania kuwa giant?
Wivu wako haibadili kitu,kama una kichefu chefu katapike manaa utakipata sana Hadi 2030 huko.Hiyo picha ya huyo mtu hapo, inatia kichefu chefu kabisa, hii nchi kwa sasa kila mtu ni either chawa au ana elements za Uchawa.
Nawakumbusha tuu Samia amekuza Uchumi kutoka 67b Hadi 75b na mwa taarifa yenu projection za 2023 tunaweza fika 85b.Ungeeleza kilicho kushangaza, huenda ungepata msaada wa maelezo ili usibaki unashangaa tu.
Lakini sioni ajabu kwa wewe kushangaa, baada ya kuambatanisha na picha isiyokuwa na uhusiano wowote na hicho unachokishangaa wewe
Hii nchi mbona ujinga umekuwa mwingi sana siku hizi?
Aaaahaaaa, Kumbe?
Nilikuwa sijasoma vyema mada yako, hasa kuhusiana na hayo mapicha yaliyobandikwa hapo.
Kumbe wewe siyo mjinga, bali ni mpumbavu mmoja tu hivi?
Kwa kawaida huwa sisome mada za aina hii.
Nina "wivu" mkubwa sana na Tanzania yetu, ninapoona watu wa aina yako na huyo unayemnyonya damu mnalifanya taifa hili kuwa miongoni mwa nchi za vichekesho duniani, siwezi kamwe kuyanyamazia hayo.Wivu wako haibadili kitu,kama una kichefu chefu katapike manaa utakipata sana Hadi 2030 huko.
Hayo mengine ni wivu na chuki.
Kunywa maji ya betri wivu utaishaNina "wivu" mkubwa sana na Tanzania yetu, ninapoona watu wa aina yako na huyo unayemnyonya damu mnalifanya taifa hili kuwa miongoni mwa nchi za vichekesho duniani, siwezi kamwe kuyanyamazia hayo.
Faidini hizo pesa za waarabu (wajomba), lakini nchi hii itakombolewa tu, hilo halina mjadala tena. Hiyo 2030 itabaki tu akilini mwako, usifikiri hii nchi imeishiwa wazalendo.
Unajua "maji ya betri", 'constitution' yake ni nini, au unajisemea tu hapa mambo hata hujui ni nini?Kunywa maji ya betri wivu utaisha