Nimeshangaa kumbe kuna shule za wahindi tupu hapa nchini?

Kuna mambo yananishangaza ni mara kadhaa maeneo ya kariakoo, Posta,upanga hadi mnazi mmoja nakutana na school bus za shule ambazo ni za wahindi watupu

Hii imekaaje shule kuwa ni za watu wa race aina moja tu?

Imenishangaza sana
Hawakatazi mtu ukiwa na uwezo wa kulipia ada na huduma zingine za shule....unajua nyie wa swahili amchelewi ooh tunaomba serikali ingilie kati ada kubwa mara usafiri 2m.nk
 
Kama hushangai school bus ikiwa na watoto weusi pekee hupaswi kushangaa ikiwa na watoto wa kihindi pekee

kuna siku utashangaa school bus ya shule ya kiislam haina Mtoto wa Kikristo na shule ya Kikristo haina Mtoto wa kiislam

cha msingi tuwekee kama kwny masharti wamesema hawataki Mtoto wa kiswahili
 
Kuna mambo yananishangaza ni mara kadhaa maeneo ya Kariakoo, Posta, Upanga hadi Mnazi mmoja nakutana na school bus za shule ambazo ni za wahindi watupu

Hii imekaaje shule kuwa ni za watu wa race aina moja tu?

Imenishangaza sana
Mbona hushangai wakatoliki kuwa na shule yao kwa wakatoliki pekee,waislamu vivo hivyo,watoto wa kiume kuaoma shule ya peke yao hawachqngamani na wa kike etc, hiyo ni jamii kama zilivyo jamii nyingine wana haki kufundisha watoto wao tamaduni zao zinazowahusu,
 
Hizo shule zina mitaala ya kihindi.

Kwa ufupi tu ni kua baadhi ya wahindi wenye makazi yao hapa nchini ndo wameamua hilo.
Hao hukuti wanaongea kiswahili ni eidha kihindi au kingereza. Wanaishi kama wapo kwao India.

Ukimpeleka dogo wa kiswazi lazima akataliwe, na wewe utaanzaje kumpeleka mtoto shule yenye mtaala wa kihindi, wewe ni mhindi au ni sunir sheti au amrishpul mdogo mdogo??
 
Back
Top Bottom