PICHA; Diamond afunika Dar- LIVE!

kuna kitu kimoja nimejifunza toka kwa watanzania wenzangu. Siku zote mtu akifanikiwa uwa watu wanakaa wakisubiri aanguke yani maombi yao na furaha yao ni pale atakapo anguka sijui nini uwa kinawauma.
Dogo hana shobo kivile na anajituma jukwaani so mimi naona poa tu anavyo shine anawapa challenge wasanii wengine wanaopga shoo kwa kushka sehemu nyeti na kutembea tembea toka kona moja ya stage mpaka nyinge yani show ya juzi leo na mwaka jana hazitofautiani.
I am sure ukiudhuria show ya diamond utakuwa unajiuliza leo atakuja vipi kwasababu anabadirika badirika.
La msingi na yeye awekeze asibweteke sana maana mziki hautabiliki.
Mtu mwingine ambaye nahisi atakuja fanya poa ni timbulo maana anaona naye kaamua kuwa na team yake ya madancer pia.
Helicopter ilitumika kama business technic ya kujaza watu wengi maana wabongo wengi wanapenda kushangaa helicopter si waona hata wanasiasa wanatumia hiyo technic kwenye kampeni zao.

Wanasubiri afe ndio wam appreciate.
 
..mungu ampe busara ya matumizi ya kipato chake, kwa mana usuper star "expayaga"
 
Haya ndo mambo yanayochelewesha ukombozi wa hii nchi, watu wanajali starehe zaidi kuliko kushiriki maswala yanalenga kubadili maisha yao na mstabali wa hii nchi! CCM wanafurahia sana watu wabobee kwenye haya maswala na wasiwaulize maswali magumu!
 
Haya ndo mambo yanayochelewesha ukombozi wa hii nchi, watu wanajali starehe zaidi kuliko kushiriki maswala yanalenga kubadili maisha yao na mstabali wa hii nchi! CCM wanafurahia sana watu wabobee kwenye haya maswala na wasiwaulize maswali magumu!

Kiendo cha kuchangia kwenye hii thread kinamaanisha wewe ni mtembeleaji mzuri wa hili jukwaa na hili jukwaa sana sana utakuta watu wa entertainment ndo wanajadiliwa huku sasa kama hupendi starehe sidhan kama wewe ungelikuwa unatembelea hili jukwaa
 
Diamond anagusa level za watanzania wote.

Oyeee Diamond tunasubiri maana nipo nawe milele. Hao wengine hawanivutii sijui kwa nini. Ila wewe una ka X-factor fulani.

Keep it up
 
Back
Top Bottom