Kwani wizkid anamshinda nini Diamond?

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Habari zenu,
Nipo nasikiliza nyimbo za mwanamuziki kutokea nigeria "wizkid",ukiangalia jamaa anakubalika sana lakini mi naona kama diamond kamzidi jamaa vitu vingi sana,nkianza na uimbaji wake mbona wizkid ata habadiliki nyimbo zote staili ni ile ile ya kupooza ata hamna nyimbo za kuruka ruka wakati tukirudi kwa diamond jamaa anajitahidi kuwapa mashabiki ladha tofauti tofauti kila mziki anauweza,hamna aina ya mziki ambao diamond hajaimba hadi rap kafanya..wizkid hana muonekano wa kisanii ata kidogo diamond anao,mziki unataka mtu entertainer na diamond master wa hivyo vitu.
Nashangaa kuona diamond hana BET,wakati kwa ukali wake kwenye mziki alipaswa awe nazo zakucheba..! Au ndo wanapeana hiyo mituzo kwa kujuana ndo mana mwanetu anatemwa?
 
Wewe Wizkid umfananishe na Diamond,
Bwege kweli wewe.
Wenzie wanatunga na kuimba kutoka scrach.
Ye anaiba anafanya collabor.
Nyimbo karibia zote sio zake ni featuring tu.
Juzi tu kachukua Mapoz ya Blue bayser.
Anasema yake,bayser kaimba miaka mingi tu hiyo nyimbo.
 
Pia exposure ya lugha inawaangusha sana wasanii wetu. Kitu ambacho kipo hata kwa wasomi wa kada tofauti tofauti nchini wanashindwa kuendana na soko la ajira huko duniani.

Yote hayo yamesababishwa na mfumo mbovu wa elimu yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom