Mambo Matano usiyoyajua kuhusu Nahreel

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,525
14,396
#MadiniNaPatron
20240115_105401.jpg

1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM Jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki wa kampuni kubwa ya mawakili Mkono & Co. Advocates ambayo iliwai kuwa washauri wa Kampuni ya Umeme ya Tanzania tangu mwaka 1995 na inakadiriwa kuwa ililipwa takriban bilioni 18. Japo inasemekana pia sio baba yake mzazi bali baba yake mkubwa.

2. Nahreel aliwai kuingia kwenye bifu na Chin bees ambae aliwai kuwa The Industry, kama una kumbukumbu ushawai sikia mdundo 2013 unaoitwa “let me know” ambayo Chin bees alimshirikisha Nahreel na Aika (Navy Kenzo) ila badae walikuja kuzinguana, Chin bees huyu mnaemchukulia poa na Kumfananisha na Country boy ndiye mwandishi wa ngoma kama ‘Game’ na ‘Kamatia chini’ za Navy Kenzo ambazo ndizo zilizowapa Aika na Nahreel mafanikio makubwa na kuingiza pesa nyingi sana ila mpaka leo hawajawai kumpa credit Chin bees ambae wakati anaondoka The Industry aliacha ngoma nyingi sana ambazo Navy Kenzo walizotumia kama zao mfano ngoma ya Rosa ree ‘up in the air’ ni idea na chorus iliyochorwa na kuimbwa Chin bees ila baadae Nahreel akamzawadia Rosa ree, baada yakusepa kwa Nahreel Chin bees alienda kwa Mesen Selekta.

3. Nahreel maisha yalishawai kumshinda. Baada ya kurudi India na kuachana na kundi lao la pah one, Nahreel kama producer na mwanamuziki maisha yaliwai kumshinda na kutamani kurudi kwao na Aika kutaka kurudi zake kwao Arusha aina ya muziki waliokuwa wakifanya ulichelewa Sana kupokelewa na mashabiki wa bongo kwani walikuwa wanaonekana na uzungu mwingi hali iliofanya maisha ya muziki kuwa magumu na kutaka kurudi kwao ili kuachana na muziki ila ghafla Mungu si Lusako kwanza wakaachia ngoma ya “moyoni” ambayo ili wafanya kupokelewa na Mashabiki kwa mikono miwili na safari yao ya mafanikio ikaanzia hapo, ila pia video yamoyoni ambayo imetayarishwa na Hanscana akishirikiana na khalfani waliishoot mara mbili yaani wali shoot mara ya kwanza huko umasaini ila kurudi mjini material yote yakafutika ikabidi Warudi tena kushoot ndio ikatoka ya moyoni hii uliyoiona ila ukweli ni kuwa ilikuwa second version, na mpaka leo Navy kenzo wanawashukuru sana Hanscana na Khalfan almandro kwa support yao maana video ilifanywa kwenye mazingira magumu sana.

4. Nahreel alimfanya Izzo bizness aonane na kikwete. Wakati Nahreel bado kijana mdogo na hajawa producer mkali alikuwa mgonga beat pale kama kawa record chini ya Tudy Tomasi tu kipindi hicho anasoma India kwenye chuo cha Punjab College akagonga beat ambayo Izzo Aliopenda na kuiandikia ngoma maarufu ya muda wote “ongea ma mshua” ngoma ambayo ilimpa sana umaarufu Izzo ikiwa inamzungumzia rais mstaafu Kikwete mwisho wa siku ilimfikia muheshimiwa na akaipend kupitia Mwanae Ridhiwani (Mbunge) akapata nafasi ya kukutana na raisin Kikwete(mstaafu) Nahreel alikuwa anachukuliwa sana poa na kuitwa ‘dogo mgonga biti’ ila baada ya kupika mkwaju wa ongea ma mshua watu walimuheshimu sana Nahreel na deal zikaja nyingi na kugonga beat kibao za wasanii kama Johmakini na wengi kibao akiwa Kama kawa record.Tangu siju hiyo Izzo hajawai kufanya ngoma kubwa zaidi ya ongea na mshua labda tusubiri siku za usoni kama atafanya makubwa japo ngoma ya ‘Love me’ ft Barnaba na Shaa kwangu ni ngoma bora ha mapenzi ya muda wote.

5. Nahree ndiye producer alievunja record youtube. Nahreel kupitia studio yake ya The Industry alinyona na ku prosuce ngoma ya Diamond iitwayo ‘Nana’ ambayo ndio video kutoka Tanzania na Africa Mashariki yenye views nyingi tangu kuumbwa kwa dunia mpaka sasa ina viewsbmilioni 59 Ngoma hiyo ilisababisha bifu ama kutoelewana kwa muda kati ya Nahreel na WCB #, baada ya WCB na Diamond kwa makusudi kutoa intro maarufu inayo mtambulisha Nahreel “Nahreel on the beat” mwanzo bila kumpa taarifa Nahreel. Ndio sababu ukiona video ya Nana Diamond ft Mr. Fleva hakuna intro ya Nahreel wakati yeye ndio producer na WCB walijitetea juu ya tuhuma hizo kuwa waliitoa intro ya Nahreel sababu kwenye video kutoka na mwanzo pale intro isingependeza (huyu atakuwa Sallam) ila swali linabaki pale pale kwanini hawakumjulisha kabla? Bonus: Nahreel alishawai kuzinguana na Quick rocka (switcher baba)

Kama una fikiri producer Lufa na Zombie ndio ma producers wa mwanzo pale switcher record basi ongeza hii kwenye data base ya ubongo wako kuwa Nahreel ndiye alikuwa producer wa mwanzo kabisa pale Switch record ila aliondoka na kwenda kuanzisha The Industry bila kuaga yani mzee baba Nahreel aliondoka bila kumjulisha boss wake kuwa anaenda kuanza maisha yake kitu ambacho kilimuuzi sana Quick rocka mmiliki wa studio ila baadae walikuja kuwa sawa baada ya Nahreel kukiri na kuomba msamaa Kwa Quick rocka na jamaa kumsamehe kwa sasa washirikiana kwenye vitu vingi na Nahreel anaheshimu mchango Switcher.

Mwisho.
 
#MadiniNaPatron
View attachment 2872381

2.Nahreel aliwai kuingia kwenye bifu na Chin bees ambae aliwai kuwa The Industry, kama una kumbukumbu ushawai sikia mdundo 2013 unaoitwa “let me know” ambayo Chin bees alimshirikisha Nahreel na Aika (Navy Kenzo) ila badae walikuja kuzinguana, Chin bees huyu mnaemchukulia poa na Kumfananisha na Country boy ndiye mwandishi wa ngoma kama ‘Game’ na ‘Kamatia chini’ za Navy Kenzo ambazo ndizo zilizowapa Aika na Nahreel mafanikio makubwa na kuingiza pesa nyingi sana ila mpaka leo hawajawai kumpa credit Chin bees ambae wakati anaondoka The Industry
aliacha ngoma nyingi sana ambazo Navy Kenzo walizotumia kama zao mfano ngoma ya Rosa ree ‘up in the air’ ni idea na chorus iliyochorwa na kuimbwa Chin bees ila baadae Nahreel akamzawadia Rosa ree, baada yakusepa kwa Nahreel Chin bees alienda kwa Mesen Selekta.

3. Nahreel maisha yalishawai kumshinda. Baada ya kurudi India na kuachana na kundi lao la pah one, Nahreel kama producer na mwanamuziki maisha yaliwai kumshinda na kutamani kurudi kwao na Aika kutaka kurudi zake kwao Arusha aina ya muziki waliokuwa wakifanya ulichelewa Sana kupokelewa na mashabiki wa bongo kwani walikuwa wanaonekana na uzungu mwingi hali iliofanya maisha ya muziki kuwa magumu na kutaka kurudi kwao ili kuachana na muziki ila ghafla Mungu si Lusako kwanza wakaachia ngoma ya “moyoni” ambayo ili wafanya kupokelewa na Mashabiki kwa mikono miwili na safari yao ya mafanikio ikaanzia hapo, ila pia video yamoyoni ambayo imetayarishwa na Hanscana akishirikiana na khalfani waliishoot mara mbili yaani wali shoot mara ya kwanza huko umasaini ila kurudi mjini material yote yakafutika ikabidi Warudi tena kushoot ndio ikatoka ya moyoni hii uliyoiona ila ukweli ni kuwa ilikuwa second version, na mpaka leo Navy kenzo wanawashukuru sana Hanscana na Khalfan almandro kwa support yao maana video ilifanywa kwenye mazingira magumu sana.

4. Nahreel alimfanya Izzo bizness aonane na kikwete. Wakati Nahreel bado kijana mdogo na hajawa producer mkali alikuwa mgonga beat pale kama kawa record chini ya Tudy Tomasi tu kipindi hicho anasoma India kwenye chuo cha Punjab College akagonga beat ambayo Izzo Aliopenda na kuiandikia ngoma maarufu ya muda wote “ongea ma mshua” ngoma ambayo ilimpa sana umaarufu Izzo ikiwa inamzungumzia rais mstaafu Kikwete mwisho wa siku ilimfikia muheshimiwa na akaipend kupitia Mwanae Ridhiwani (Mbunge) akapata nafasi ya kukutana na raisin Kikwete(mstaafu) Nahreel alikuwa anachukuliwa sana poa na kuitwa ‘dogo mgonga biti’ ila baada ya kupika mkwaju wa ongea ma mshua watu walimuheshimu sana Nahreel na deal zikaja nyingi na kugonga beat kibao za wasanii kama Johmakini na wengi kibao akiwa Kama kawa record.Tangu siju hiyo Izzo hajawai kufanya ngoma kubwa zaidi ya ongea na mshua labda tusubiri siku za usoni kama atafanya makubwa japo ngoma ya ‘Love me’ ft Barnaba na Shaa kwangu ni ngoma bora ha mapenzi ya muda wote.

5. Nahree ndiye producer alievunja record youtube. Nahreel kupitia studio yake ya The Industry alinyona na ku prosuce ngoma ya Diamond iitwayo ‘Nana’ ambayo ndio video kutoka Tanzania na Africa Mashariki yenye views nyingi tangu kuumbwa kwa dunia mpaka sasa ina viewsbmilioni 59 Ngoma hiyo ilisababisha bifu ama kutoelewana kwa muda kati ya Nahreel na WCB #, baada ya WCB na Diamond kwa makusudi kutoa intro maarufu inayo mtambulisha Nahreel “Nahreel on the beat” mwanzo bila kumpa taarifa Nahreel. Ndio sababu ukiona video ya Nana Diamond ft Mr. Fleva hakuna intro ya Nahreel wakati yeye ndio producer na WCB walijitetea juu ya tuhuma hizo kuwa waliitoa intro ya Nahreel sababu kwenye video kutoka na mwanzo pale intro isingependeza (huyu atakuwa Sallam) ila swali linabaki pale pale kwanini hawakumjulisha kabla? Bonus: Nahreel alishawai kuzinguana na Quick rocka (switcher baba)
Kama una fikiri producer Lufa na Zombie ndio ma producers wa mwanzo pale switcher record basi ongeza hii kwenye data base ya ubongo wako kuwa Nahreel ndiye alikuwa producer wa mwanzo kabisa pale Switch record ila aliondoka na kwenda kuanzisha The Industry bila kuaga yani mzee baba Nahreel aliondoka bila kumjulisha boss wake kuwa anaenda kuanza maisha yake kitu ambacho kilimuuzi sana Quick rocka mmiliki wa studio ila baadae walikuja kuwa sawa baada ya Nahreel kukiri na kuomba msamaa Kwa Quick rocka na jamaa kumsamehe kwa sasa washirikiana kwenye vitu vingi na Nahreel anaheshimu mchango Switcher.

Mwisho.
Hii habari ina uongo mwingi
 
#MadiniNaPatron
View attachment 2872381

1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM Jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki wa kampuni kubwa ya mawakili Mkono & Co. Advocates ambayo iliwai kuwa washauri wa Kampuni ya Umeme ya Tanzania tangu mwaka 1995 na inakadiriwa kuwa ililipwa takriban bilioni 18. Japo inasemekana pia sio baba yake mzazi bali baba yake mkubwa.

2. Nahreel aliwai kuingia kwenye bifu na Chin bees ambae aliwai kuwa The Industry, kama una kumbukumbu ushawai sikia mdundo 2013 unaoitwa “let me know” ambayo Chin bees alimshirikisha Nahreel na Aika (Navy Kenzo) ila badae walikuja kuzinguana, Chin bees huyu mnaemchukulia poa na Kumfananisha na Country boy ndiye mwandishi wa ngoma kama ‘Game’ na ‘Kamatia chini’ za Navy Kenzo ambazo ndizo zilizowapa Aika na Nahreel mafanikio makubwa na kuingiza pesa nyingi sana ila mpaka leo hawajawai kumpa credit Chin bees ambae wakati anaondoka The Industry aliacha ngoma nyingi sana ambazo Navy Kenzo walizotumia kama zao mfano ngoma ya Rosa ree ‘up in the air’ ni idea na chorus iliyochorwa na kuimbwa Chin bees ila baadae Nahreel akamzawadia Rosa ree, baada yakusepa kwa Nahreel Chin bees alienda kwa Mesen Selekta.

3. Nahreel maisha yalishawai kumshinda. Baada ya kurudi India na kuachana na kundi lao la pah one, Nahreel kama producer na mwanamuziki maisha yaliwai kumshinda na kutamani kurudi kwao na Aika kutaka kurudi zake kwao Arusha aina ya muziki waliokuwa wakifanya ulichelewa Sana kupokelewa na mashabiki wa bongo kwani walikuwa wanaonekana na uzungu mwingi hali iliofanya maisha ya muziki kuwa magumu na kutaka kurudi kwao ili kuachana na muziki ila ghafla Mungu si Lusako kwanza wakaachia ngoma ya “moyoni” ambayo ili wafanya kupokelewa na Mashabiki kwa mikono miwili na safari yao ya mafanikio ikaanzia hapo, ila pia video yamoyoni ambayo imetayarishwa na Hanscana akishirikiana na khalfani waliishoot mara mbili yaani wali shoot mara ya kwanza huko umasaini ila kurudi mjini material yote yakafutika ikabidi Warudi tena kushoot ndio ikatoka ya moyoni hii uliyoiona ila ukweli ni kuwa ilikuwa second version, na mpaka leo Navy kenzo wanawashukuru sana Hanscana na Khalfan almandro kwa support yao maana video ilifanywa kwenye mazingira magumu sana.

4. Nahreel alimfanya Izzo bizness aonane na kikwete. Wakati Nahreel bado kijana mdogo na hajawa producer mkali alikuwa mgonga beat pale kama kawa record chini ya Tudy Tomasi tu kipindi hicho anasoma India kwenye chuo cha Punjab College akagonga beat ambayo Izzo Aliopenda na kuiandikia ngoma maarufu ya muda wote “ongea ma mshua” ngoma ambayo ilimpa sana umaarufu Izzo ikiwa inamzungumzia rais mstaafu Kikwete mwisho wa siku ilimfikia muheshimiwa na akaipend kupitia Mwanae Ridhiwani (Mbunge) akapata nafasi ya kukutana na raisin Kikwete(mstaafu) Nahreel alikuwa anachukuliwa sana poa na kuitwa ‘dogo mgonga biti’ ila baada ya kupika mkwaju wa ongea ma mshua watu walimuheshimu sana Nahreel na deal zikaja nyingi na kugonga beat kibao za wasanii kama Johmakini na wengi kibao akiwa Kama kawa record.Tangu siju hiyo Izzo hajawai kufanya ngoma kubwa zaidi ya ongea na mshua labda tusubiri siku za usoni kama atafanya makubwa japo ngoma ya ‘Love me’ ft Barnaba na Shaa kwangu ni ngoma bora ha mapenzi ya muda wote.

5. Nahree ndiye producer alievunja record youtube. Nahreel kupitia studio yake ya The Industry alinyona na ku prosuce ngoma ya Diamond iitwayo ‘Nana’ ambayo ndio video kutoka Tanzania na Africa Mashariki yenye views nyingi tangu kuumbwa kwa dunia mpaka sasa ina viewsbmilioni 59 Ngoma hiyo ilisababisha bifu ama kutoelewana kwa muda kati ya Nahreel na WCB #, baada ya WCB na Diamond kwa makusudi kutoa intro maarufu inayo mtambulisha Nahreel “Nahreel on the beat” mwanzo bila kumpa taarifa Nahreel. Ndio sababu ukiona video ya Nana Diamond ft Mr. Fleva hakuna intro ya Nahreel wakati yeye ndio producer na WCB walijitetea juu ya tuhuma hizo kuwa waliitoa intro ya Nahreel sababu kwenye video kutoka na mwanzo pale intro isingependeza (huyu atakuwa Sallam) ila swali linabaki pale pale kwanini hawakumjulisha kabla? Bonus: Nahreel alishawai kuzinguana na Quick rocka (switcher baba)

Kama una fikiri producer Lufa na Zombie ndio ma producers wa mwanzo pale switcher record basi ongeza hii kwenye data base ya ubongo wako kuwa Nahreel ndiye alikuwa producer wa mwanzo kabisa pale Switch record ila aliondoka na kwenda kuanzisha The Industry bila kuaga yani mzee baba Nahreel aliondoka bila kumjulisha boss wake kuwa anaenda kuanza maisha yake kitu ambacho kilimuuzi sana Quick rocka mmiliki wa studio ila baadae walikuja kuwa sawa baada ya Nahreel kukiri na kuomba msamaa Kwa Quick rocka na jamaa kumsamehe kwa sasa washirikiana kwenye vitu vingi na Nahreel anaheshimu mchango Switcher.

Mwisho.
Umekopi humuhumu JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom