mbona sioni hiko kituko?
Umechanganya madesa hapo!bado sijaona
Hawa nilisikia watalindwa kuliko rais J.K nashangaa bado wadau wanakwiba hiyo pembe inahusika sana kwenye ngono. Kwa muktadha huo hata rais wetu anaweza kuuawa kutokana na ulinzi dhaifu
Mie nataka picha za GOMBE......
Jamani, Mungu ametujalia vivutio vingi katika mbuga zetu....Hapa ni Ngorongoro karibu na msitu wa lerai !
View attachment 57197