SoC03 Tanzania yangu

Stories of Change - 2023 Competition

christopher mg

New Member
Jul 14, 2023
2
2
TANZANIA yangu ni nchinzuri yakuvutia inavitu vingi vyakuvutia kama mrima Kilimanjaro mbuga za selengeti mikumi na hifadhi yakitulo saadani makumbusho ya bagamoyo Zanzibar forodhan na vivutio vingi pamoja na madini mengi adhim Dunia kama dhahabu, tanzanite inayo patikana Tanzania pekee hii imefanya TANZANIA kua nchi yakuvutia Kwa watalii wa nje ya afrika hata ndani.

Hongera raisi mama Samia suluh hassan Kwa uzinduzi wa royal toure ambayo imevutia watalii weng kutokea nchi tofauti nifahar na inaongeza Pato lataifa tunaweza kufanya TANZANIA ku nchi pendwa Duniani kote.ombi kwauongozi wa taifalangupendwa la TANZANIA waongeze ubunifu katika kuitangaza nchi yetu na vivutio tulivyo balikiwa kunanjia nyingi zakujitangaza Kwa kutumia visit TANZANIA katika Tim za michezo zinazo shiliki michuano mbalimbali sababu zinaonwa na matafa mengi kupitia runinga hii itatangaza vivutio vyetu nakuleta watalii hivyo taifa kupata faida pia viongozi wanaweza kuvutia utalii wandan Kwa kupunguza ghalama na kutoa promoshen za kuvutia ili kishawish wananchi katika utalii wa ndani hii itapelekea kuongeza Pato lataifa najivunia kua mtanzania nakupenda nchiyangu TANZANIA natamani siku nipande mlima Kilimanjaro nikiwa kama mtarii wa ndani Ahsante TANZANIA NAKUPENDA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE NCHIYANGU
 
Back
Top Bottom