SoC03 Nakupenda Tanzania

Stories of Change - 2023 Competition

christopher mg

New Member
Jul 14, 2023
2
2
TANZANIA NAKUPENDA nchi yangu napenda vyote ulivyo jaaliwa na mwenyez mungu TANZANIA imejaaliwa vitu vingi vinavyo vutia nakupendeza macho mwakila mtu mito, maziwa, bahari, mbuga za wanya na vivutio vingi kama vile mbuga ya saadani mlima Kilimanjaro, hifadhi ya taifa ya kitulo, muga za mikumi na Serikali Zanzibar.

Na nyingine nyingi viongoz wetu ninaomba tutumie vizur hizi maliasili kama chanzo Cha Pato rataifa Kwa kuitangaza vivutio vyetu nampongeza mama Samia Kwa kushilik katika filam ya loyal toure iliyotangaza vivutio vyetu hivyo kuleta matunda katika taifa hii haitosh naomba selikali iongeze nguvu katika kutangaz vivutio vyetu.

Selikali ingetumia kutangaz vivutio vyetu kutumia udhami katika Timu za michezo mbalimbali iwe ndani hata nje ya nchi kwasababu itapelekea watalii weng kutaman kutembelea TANZANIA hivyo Pato la taifa litaongezeka mfano mzuri jilan zetu Rwanda wanaitangaza inchi Yao kupitia alsenal visit Rwanda hata Tanzania tunaweza tumia visit TANZANIA pia selikali inaweza kuvutia utalii wa ndani kwakupunguza ghalama Kwa watalii wandan ili kumudu ghalama hiitapelekea kukuza uchumi wa taifa NAKUPENDA TANZANIA NAJIVUNIA KUA MTANZANIA.
 
Back
Top Bottom