Photos-Vivutio katika mbuga zetu 1

Mtanga Tc

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
235
84
Jamani, Mungu ametujalia vivutio vingi katika mbuga zetu....Hapa ni Ngorongoro karibu na msitu wa lerai !
White rhino at Lerai forest-Ngorongoro Crater.JPG
 
Hawa nilisikia watalindwa kuliko rais J.K nashangaa bado wadau wanakwiba hiyo pembe inahusika sana kwenye ngono. Kwa muktadha huo hata rais wetu anaweza kuuawa kutokana na ulinzi dhaifu
 
Hawa nilisikia watalindwa kuliko rais J.K nashangaa bado wadau wanakwiba hiyo pembe inahusika sana kwenye ngono. Kwa muktadha huo hata rais wetu anaweza kuuawa kutokana na ulinzi dhaifu

Tulisha zoea siasa kila sehemu, ndiyo maana mstafu alitandikwa makofi, na mwingine alidondoka kama gunia angekuwa na ulinzi ningumu ujinga kama huo kutokea....
 
Mkuu tunaomba uitoe hii thread, Maige akiona atapandwa na mshawasha wa kutaka tena kwenda kuwauza.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom