Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

Nasikia amewekeza sana kujiweka karibu na Lowassa akitumaini kuwa Waziri mkuu. Ila tusi alilotoa naona litakuwa doa kwake.
 
Ungemshika mkono, umuamshe, inawezekana alikuwa usingizini anaota, hata kama CCM hakuna watu, wawezi kupa nafasi hiyo serukamba

Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.
 
Kama huyu atakuwa waziri kwa matusi ya namna hile basi lusinde atakuwa makamu wa rais!
 
Kama huyu atakuwa waziri kwa matusi ya namna hile basi lusinde atakuwa makamu wa rais!

Ha ha ha nimecheka hii.Sitakua sehemu ya hiyo Banana Republic maana watakua wameingia kihuni kama ilivyo mienendo yao na ikitokea basi nitakua wa kwanza kuitafuta Tanzania yenye hadhi na heshima msituni
 
Mkuu wapi huko?
 
Na waziri mkuu atakuwa yule anayeongea na mwenye mbwa wakati inawezekana na yeye mwenye ni sehemu ya mbwa kwa mujibu wa muomba mwongozo kwamba kiti ndo mwenye mbwa na wabunge ndo mbwa
 
Seru-Gamba ana kashfa 2 kubwa....mchicha mwiba(pori) na pia ni Mnyarwanda!....kama PM anapatikana kwa wabunge wa viti maalumu...basi atakuwa PM ila kama kwa jimbo,asahau!
 
Back
Top Bottom