Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

Tukiendelea kuzubaa tutakuja kuongozwa na watu wachovu kama huyu jamaa. Huyu jamaa si kiongozi. ni mganga njaa tu anayejifanya anajua kila kitu Tanzania hii. Sijui naye yuko kwenye ule ule ugonjwa unaoitwa "System", maana "watu wa system" nao wamekuwa wachovu kama system yenyewe. Wanakwenda kwenda tu kama vipofu wanaobahatisha njia.
 
Ni ngumu kuamini lakini ni ukweli kuwa Peter ana miaka mitano hawasalimiani wala kuongea na baba yake mzazi na kisa ni siasa kwa kuwa baba yake alimuunga mkono mgombea wa Chadema mwaka 2005
 
Pipoz mnamuongelea huyu jamaa anaye lewa hadi chakari kabisa kabisa yule ama Peter yupi ?
 
Haifurahishi kuona watu wanaanza kuwaza kupata nafasi za uongozi uchaguzi wa 2015. Pasipo na kuwaza ni kwa jinsi gani tutasogeza gurudumu la maendeleo kwa kipindi hichi cha 2012-2015. Tubadilike jamani.
 
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.
Watanzania mmelaaniwa!!!!mpaka machoko mnataka kuwapa madaraka!!!!alafu wewe uliepost hii eti unategemewa kuijenga nchi!!!! tz......a land of ignorants.........only in tz yaani........
 
SERUKAMBA????MMMH KWELI MAGAMBA MMEICHOKA HII NCHI ,KWANZA MKAMTEUA JK TUNAWAAGALIA TUU SASA HIVI MNATAKA KASERUKAMBA KAWE PM????BALAAAAAAAAA YULE KUSOME SI KAJIVUNZIA BUNGENI AU??HATA KISWAHILI HAJUI VIZURI NI JUZI JUZIEA BUNGENI ETI LEO PM.

bora Lucy Owenya awe Raisi kuliko Serukamba kuwa PM
 
Swala la Peter kuwa anamuunga mkono lowasa ni la kawaida kwa kuwa huduma anazopewa hata humu ndani ni wachache sana wangeweza kuvumilia.........Peter anajengewa kwa msaada mkubwa wa Lowasa nyumba makongo tena ghorofa.....inakaribia kwisha. Fred Lowasa na Masha wamechanga wakamnunulia Vogue.Xmas kapelekwa ne Fred mapumziko south africa......na unakumbuka Peter ana tabia ya udokozi hata wakati wa mafundisho ya kipaimara alidokoa kamera yapadri mzungu mpaka walei wakampeleka polisi....inawezekana ulikuwa utoto lakini tabia haiishi kabisa.
Mwanaume ukizoea kupewa na wanaume wenzio unachekelea inatia mashaka.Wanaume hawapewi , wanatafuta.
 
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.

Ni rahisi NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO, Kuliko CCM Kushinda urais 2015. Hivyo si rahisi kwa Peter selukamaba, mwizi wa kura za kigoma mjini kuwa waziri mkuu, kwani CCM haitafurukuta this time
 
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.

Kweli wewe mchawi..............kuanzia 2008 post 18 tu ikiwemo hii ya kichawi...hakika majina yanayo chaguliwa hu reflect tabia za watu
 
Watanzania mmelaaniwa!!!!mpaka machoko mnataka kuwapa madaraka!!!!alafu wewe uliepost hii eti unategemewa kuijenga nchi!!!! tz......a land of ignorants.........only in tz yaani........
jamani this is too much bana mbona hayo mambo ya mtu binafsi............sidhani kama ni busara kuanika hapa maisha binafsi ya mtu. Hoja ni kwamba kutokana na upeo wake na uwezo wa kujenga hoja na changamoto zinazo kabili taifa hili 2015-2020, sidhani kama ataweza speed yeye na nduguze hivyo tunahitaji fikra mpya, harakati mpya, itkadi mpya na mtazamo mpya yeye na EL hawawezi.
 
Kweli wewe mchawi..............kuanzia 2008 post 18 tu ikiwemo hii ya kichawi...hakika majina yanayo chaguliwa hu reflect tabia za watu
hujakosea hata kidogo kwa kuwa jambo la muhimu ni kupost pale unapokuwa na mambo ya msingi ya kupost sio kila jambo unalipost post tu kama wewe post mia tatu lakini zote ni pumba tu
 
Ulinzi kwa MH Lowasa umeongezeka zaidi kiuliko hapo awali hasa wakati wa bunge la mwisho wale ambao tulienda kumsalimia nyumbani kwake mara zote mh akiwa anahitaji aongezewe whisky basi peter serukamba aliluwa akiwahi jikoni na kuja kummiminia kwa kasi ya ajabu hata dada Tatu yule muhudumu alikuwa anabaki kushamngaa tu.kweli madaraka yanajua kutafutwa
 
JF imevamiwa na fortune tellers kibao, mods tuondoshee hawa washirikina!
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.
 
Ulinzi kwa MH Lowasa umeongezeka zaidi kiuliko hapo awali hasa wakati wa bunge la mwisho wale ambao tulienda kumsalimia nyumbani kwake mara zote mh akiwa anahitaji aongezewe whisky basi peter serukamba aliluwa akiwahi jikoni na kuja kummiminia kwa kasi ya ajabu hata dada Tatu yule muhudumu alikuwa anabaki kushamngaa tu.kweli madaraka yanajua kutafutwa

mkuu sasa huyo Peter S ni mhudumu mpambe au mshauri wa mheshimiwa.!
 
Waziri mkuu wa chama gani? Coz ,2015 ccm inakwenda kuwa opposition part . Kwa maana hiyo Serukamba anakwenda kuwa msemaji mkuu wa kambi ya upinzani!
 
Back
Top Bottom